Mbona sasa uko njia panda??sogea kipande yangu basi??
Shem afu Nsuri kasema hakuogopi.
Binamu, ngoja Ben Saanane akusikie
Nilimuonya Ben Saanane lakini hakusikia ona sasa anavyokatiwa waziwazi
Hebu niweke wazi, ume-book wapi na wapi ili nisije kukuingilia kwenye koloni lako.Nawewe fanya ufisadi sasa.
Mbona malighafi zimejaaaa
ila Mrembo by Nature yuko booked incase Kipipi na Chocs wakinizingua
Copy: sosoliso
Shem, hv una habari kuwa shem wako Kala anataka arivenji udiwani?
My huy Ben Saanane yuko Mtwara anaamulia mtiti wa huko.
Nsuri chondechonde na Mamndenyi utapatwa na makubwa zaidi ya yale niliyopatwa jana, unaona mwenye mali anavyopiga mkwara....