Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Najua Mamndenyi ananitafuta ugomvi maana hajanisikia siku nyingi. Bahati mbaya hawezi kunipata maana mambo ya ugomvi ugomvi nilishayaacha siku nyingi.

Msiri wangu mwaJ nimekumisije....huku wanataka watutoe ziwani watupeleke kwenye gesi...
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
sijajua vizuri nicheke au nilie au zote ni kelele
niambie sasa mi namba ngapi
manake orodha imeshajaa

Mamndenyi wewe ni mke sio binamu wala dada bana hapo wewe unashikilia cheo cha mwenye nyumba
Hao ni binamu na dada zangu bana
ladyfurahia nini tena aise mbona umeguna
Wewe ni dada mdogo bana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom