Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Nimerudi Naombeni Mwongozo......

nitajie faida japo mbili tu tafadhali
Mr Rocky nahisi ntabanniwa kuna lijitu linanichefua hapa....nishike tafadhali nna hasira naweza ng'oa mtu masikio kwa meno................

Aaashhh acha hasira Paloma binamu yangu hasira hasara
Mi napata mahari halafu sometime wanakuwa binamu nyama ya hamu bana
 
Last edited by a moderator:


quote_icon.png
By Nsuri
Hata wewe jamani???mbona ndo tumaini langu?






ebo
 
Nishikeeeeeeeeeeeni
hii sasa nimechoka,
hii nyama ya hamu isoisha utamu
naona nitashindwa, Mr Rocky toa tamko
 
Last edited by a moderator:
yani ungekosea tu ungekutana na Filipo angekurarua wee mpaka ungechoka mwenyewe sasa umeshamwambia Arushaone aje naye umpe hiyo ndyofu
Erickb52 we hujui namna ya kunywa ndyofu unamaliza halafu unatafuna big gee kwa wingi unaua soo. Chocs hatajua wala Kipipi bana
Mamndenyi habari za kwako
Msalimie sana Dena Amsi binamu yangu na Paloma na Madame B na Passion Lady
Mwalimu wangu @gifsonwin na snowhite sijui wamepotelea wapi na mpendwa wangu wa zamani sweetlady na dada yangu ladyfurahia na dada mkubwa Blaki Womani na Preta sijui wamepotelea wapi
 
Last edited by a moderator:
fomu nitakupa ila hapo kwenye 'she' tafuta mwenyewe kwani sitaki yaje yanitokee mabaya bure ila labda mwambie Nivea yeye alikuwa anatafuta mtu wa kumtoa out siku ya tarehe 17/07/2013 mPM yeye ndug hapo kazi ni kwako QUOTE=Katavi;6419255]Nimekaribia nipe hizo fomu na nikabidhi "she" yeyote aliye single.[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom