Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Nimerudi Naombeni Mwongozo......

huna matatizo kaka yangu Erickb52 inabdi tuitishe jumuiya ije kukuombea
 
Last edited by a moderator:
una matatizo ya kisaikiolojia kaka kumbe wewe ni mnafiki mkubwa na mgombanishi sikujua kumbe hata ndugu anaweza kukuharibia ona hapa sasa Mentor
Mi nimemsifia kinafiki tu acha masifa.
Hakuna lolote
 
Last edited by a moderator:
fomu nitakupa ila hapo kwenye 'she' tafuta mwenyewe kwani sitaki yaje yanitokee mabaya bure ila labda mwambie Nivea yeye alikuwa anatafuta mtu wa kumtoa out siku ya tarehe 17/07/2013 mPM yeye ndug hapo kazi ni kwako QUOTE=Katavi;6419255]Nimekaribia nipe hizo fomu na nikabidhi "she" yeyote aliye single.
[/QUOTE]
17/06 nataka wakuntoa out
 
Kaka humu ndani ni full kunyanyapaana, kama huna wako ulie tu......bora mimi nimemuona Husninyo nimefarijika....(sijui yule jamaa aliyem-dedicate wimbo juzi kasikia, asije akaning'oa kucha, meno na jicho......)

heheheheh, anaitwa@excellent, he is excellent kwakweli. lol, hivi katavi ni mkoa au wilaya ya wapi?
 
Last edited by a moderator:
17/06 nataka wakuntoa out[/QUOTE]

Umetoka Nivea..? Tulikumicije hapa.. (mie na Paloma)
 
Last edited by a moderator:
Kumbe yule aliyekudedicate wimbo ni Excellent....!! Huyo hana matatizo, kucha zangu zipo salama Husninyo..
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi ni salam tuu na waambie nimewamiss sana binamu zangu na dada zangu nikipata nafasi nitaenda kuwatembelea.
Ila Arushaone hajakata tamaaa na nimenasa barua yake akitaka kuituma kwako eti anataka mrudiane
mwaJ mzima wewe sijakutia machoni siku nyingi wewe umepotea kama chozi la kuku

Mie sijambo kabisa, nipo mitaa hii hii.
 
huyo Erickb52 kwani hua anatafuna banzoka basi,akisha ndofyuka
hua anakula ndizi mbivu kuua sooo!!


 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom