Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Katavi mwalindauli taitu kalesa
Mhhh nakumbukia miaka yangu pale Kanta aise mitaa a polisi na chanji na kizitwe na mazwi na majengo na stand pale balaa
 
Last edited by a moderator:

Taitu kalesa Mr Rocky,,,,,,,,ulikuwepo hapo kanta kipindi cha mzee Millinga? Karibu tena aisee......
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Katavi nilikuwepo kipindi cha Mzee Millinga bana
Asante sana mkuu wanasema taitu kalesa
Binamu Madame B huyo Ben Saanane namfahamu sana we muulize Mr Rocky ni nani na ndo maana sina wasi wasi kukumovuzisha binamu
Erickb52 mbona kama umekuwa bidhaa adimu kama yule askari wa mzigo wa moshi aise
 
Hahahaaaa
Dah yan nahisi network iko down sana ila niko full kwenye mkongo wa taifa.
Kesho itabidi nifanye ziara ngorongoro Mr Rocky leo sioni ramani
 
Last edited by a moderator:
Katavi nilikuwepo kipindi cha Mzee Millinga bana
Asante sana mkuu wanasema taitu kalesa
Binamu Madame B huyo Ben Saanane namfahamu sana we muulize Mr Rocky ni nani na ndo maana sina wasi wasi kukumovuzisha binamu
Erickb52 mbona kama umekuwa bidhaa adimu kama yule askari wa mzigo wa moshi aise
Okay kumbe mlikuwa maadui wetu wakati wa masindano ya umisseta, mimi nilikuwa pale Mazwi.....
 
Katavi naukumbuka sana uadui kati ya Kanta na Mazwi bana mpaka wakati tuko Kanta ulimuumiza Makamu wangu wa Mwenyekiti Ukwata bana mpaka ukasababisha mashindano kusimamishwa
Dah mkuu hebu nipm bana usije ukawa tulikuwa same same category bana
Erickb52 nimekupata mkuu usiwe na shaka nitakupokea pale getini bana ila uje na hela ya ndyofu bana
 
Hahaahaaa
Hujui Kipipi hapendi ndofu labda tuzichape kimyakimya hahhahaa
Bora Chocs anaonja hadi Godons kwikwiii
Ntakuarifu
 
Last edited by a moderator:
nenda kule siasani kuna bi shosti mmoja kaingia kwa mbwembwe juzi juzi tena anasimamia mambo ya kujenga nyumba ukwamuwahi kama Mwita Maranya atakuwa hajakuwahi.

Mamndenyi habari yake bana. Hivi umeanza lini kujifundisha uchonganishi? wewe si unafahamu kabisa kuwa mimi nina mamsapu wangu wa ukweli mwaJ, sasa huu uchonganishi unatoka wapi tena?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom