Binamu Madame B taratibu maana utamfanya Mamndenyi apate presha bure wakati wewe ni binamu tu nyama ya hamu
Nsuri ruksa nenda kwa binamu Madame B ila Ben Saanane alikukamata ujue huna kucha na meno na kifanyio
Shukrani shem, na nakuahidi Madame B harudi tena kwa Ben SaananeBinamu Madame B taratibu maana utamfanya Mamndenyi apate presha bure wakati wewe ni binamu tu nyama ya hamu
Nsuri ruksa nenda kwa binamu Madame B ila Ben Saanane alikukamata ujue huna kucha na meno na kifanyio
hauamini
lakini mimi nakwambia amini tu kuwa
i am alone.
Shukrani shem, na nakuahidi Madame B harudi tena kwa Ben Saanane
Karibu nyumbani baby, nakuahidi hutamkumbuka tena Ben Saanane. Jamani natangaza kuanzia leo Madame B yuko kwangu....Taratibu zingine mtafahamishwaUmeshiba binamu?
Naona ulikuwa lunch.
Mr Rocky usimtishe Nsuri, rafiki yangu Ben Saanane ameenda kuongeza nguvu kule Kusini.
Hivo ruksa kunimiliki.
Afu Mamndenyi kwani mkeo au anakupigia misele?
presha tayari hata hivi
nameza panadol.
Mtoa mada!
Hapa mimi sijihami, wala sijitetei!
Najiamini my wife YNNAH hapokonyeki kattu!
As a matter of
fact , i know very well how to satisfy my wf at bedroom performance!
You can't b a player as if you don't know how to intrigue, seduce or satisfied a woman!
Always i'm smooth operator.
presha tayari hata hivi
nameza panadol.
Pole mwaya...mkataa pema.....
Unamtafutia BAN Katavi-?nenda kule siasani kuna bi shosti mmoja kaingia kwa mbwembwe juzi juzi tena anasimamia mambo ya kujenga nyumba ukwamuwahi kama Mwita Maranya atakuwa hajakuwahi.
Karibu nyumbani baby, nakuahidi hutamkumbuka tena Ben Saanane. Jamani natangaza kuanzia leo Madame B yuko kwangu....Taratibu zingine mtafahamishwa
CC: Ben Saanane, Mr Rocky
Whaaat?
It's a subject!
Nawewe fanya ufisadi sasa.
Mbona malighafi zimejaaaa
ila Mrembo by Nature yuko booked incase Kipipi na Chocs wakinizingua
Kwani ushaachika kwa Ben Saanane? BTW Mimi nimeamua kuwa singo mpaka nitakapooteshwa!