Nimerudi kutoka vekeshen wakuu....

Nimerudi kutoka vekeshen wakuu....

Wakuu,

Nimerudi kutoka Afrika baada ya vekeshen ya miezi miwili na kwa kweli ilikua bomba kishenzi. Nitajaribu kutundika mipicha kadhaa niliopiga ili nanyi mufurahishe macho. kwanza kabisa tuanze na hii:

The View from my hotel room in the morning!



5484196188_059e9a35ec_z.jpg




5484201174_21466dec90_z.jpg


Hii vacation ilikuwa wapi? Au ndio kati ya wale wanafunzi waliokuwa Libya umekimbia vurugu za Gaddaf!
 
hii vekesheni inaonekana ilikua kenya,mombasa.uki zoom zile picha utaona evidence,lolz
 
Ab Tchaz

Biriani la Mombasa lile kaka ni nooooma! almanusura nikatae rudi bara mie, wale watu wajua kupika sijapata ona, let alone hali ya hewa na mazingira yanavutia sana.
 
Looking at this pictures you wonder with all this beauty and naturity why Tanzania is among the poorest county in the world kwa kweli sipati jubu...
 
Tulikumiss sana mie nilibaki na maswali kibao ,karibu tena ,i hope ume-enjoy vekeshen yako
 
Ahasante sana mkuu kwa view point nzuri kama hizi,
yaani unanikumbusha home sana
duh jama tz pazuri sio mchezo maana huko unaona u-naturality kabisa
Safari ya kuelekea mbugani ...


5483813109_09b555aa54_z.jpg




5484297464_0fa722cf3e_z.jpg




5483727757_cdb8a8f151_z.jpg




5484358726_45c608d44a_z.jpg










 
Safi sna best ume enjoy haswaaaa wacha nami nijipinde July niendee
 
Duh.....nilikua nimelala...
Karibu tena Mkuu...karibu mwalimu....
 
Back
Top Bottom