Nimepona, natafuta mechi ya majaribio/kirafiki

Nimepona, natafuta mechi ya majaribio/kirafiki

Kwani wewe hujawahi kuwa govi?
 
Mhhh we nawe mda wooOte ulikua unaishi na mkono wa sweta!!haya ol ze best me. Simoooo!!nakutakia mech njema
 
Hata aliyezolewa na maafuriko kabla ya kuvuka alikua na kicheko kikuu na kuyadharau maji...... Naona unaongea kwa raha kweli ili kupata hiyo mechi ya majaribio, hata hao walioangamia kwa maradhi na kupata majuto makuu, wengine walianza kama hivi kiutani utani tu na ikawa kweli......... Kijana mwenzangu jitazame maneno huumba!........
 
Ukigusa tu lazima ukatwe hicho kifanyio chote sasa
 
aisee umekatwa govi kidigitali, hiyo viper wanawekewa watoto wadogo ....
 
Asanteni wote , tayari nishapiga game Saba za majaribio, na Leo nikitoka hapa quality center cineplex naenda kupiga ya nane
 
Heee ndo unajua utamu leo eeh. take care but. Na hivi hilo donda halijafunga vizuri be careful.
 
Asanteni wote , tayari nishapiga game Saba za majaribio, na Leo nikitoka hapa quality center cineplex naenda kupiga ya nane

Pata gono uje kwangu nkwandikie penadu uone utamu wake
 
Hahahaaaaaaaa! Makubwaaaaaa! GOVINDER MSTAAFU ATAKA MECHI!!!!!!!!!! Inahuuuuuuu?

mpe sister.. kwani nini bana! wewe huku unachati.. yeye anafanya mambo yake!
 
dogo mechi ya kwanza inatakiwa uende kavukavu(pekupeku) ili kuondoa nuksi nyembe, but make sure unakula chakula kilichosalama. usile vilivyo haribika.
 
dogo mechi ya kwanza inatakiwa uende kavukavu(pekupeku) ili kuondoa nuksi nyembe, but make sure unakula chakula kilichosalama. usile vilivyo haribika.

unajua madhara ya kwenda mbichi mbichi/nyama nyama?
 
Heee ndo unajua utamu leo eeh. take care but. Na hivi hilo donda halijafunga vizuri be careful.

haya madonda huwa yanafunguka endapo mwenye nalo sio mwangalifu..

hali huwa mbaya pale dushe linaposimama kwa pressure kubwa sana, hapo kama hujapona vizuri, mpasuko mkubwa sana unaweza kutokea na kuleta madhara kiafya..

ningelimshauri hata akae miezi miwili bila ngono, lakini sidhani kama atanisikiliza..

huu ni mfano tu..

circumcision-08-big.jpg


endapo atafanya ngono kabla nyuzi hazijatolewa vizuri na kidonda kupona sawa, basi kona za dushelele kama zinavyoonekana katika picha, zaweza kupata madhara makubwa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom