tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,316
Hakuna matata, nitaleta majibu
twasubili sie!!
Hakuna matata, nitaleta majibu
Wadau
Two weeks ago nilifanya tohara ( nilikata govi ), nawashukuru wote mulioniombea nipone haraka, Leo nilirudi hospital kwa ajili ya kuondoa kipira nilichowekewa na daktari ameniambia by next week naweza kucheza mechi, so now naanza kutafuta mtu wa kucheza nae mechi ya majaribio,
ambae yuko tayari kucheza mechi ya majaribio ani-pm tafadhali
Asanteni
NB: mods, this thread is for my MMU mates
Ila naona MMU mates hawakujitokeza kunipa mechi ya majaribio, Lkn usijali, sikosi wa kucheza nae this weekend
lol unanipa mashaka mda wote huo kijana hukuwa na mate mpaka mumtafute mmu?????!
hiyo avatar ndo ulivyo au
Sio mimi ni picha tu hiyo!!!
najua sio wewe
nimeuliza kama unafananania shepu hilo?
Wadau
Two weeks ago nilifanya tohara ( nilikata govi ), nawashukuru wote
mulioniombea nipone haraka, Leo nilirudi hospital kwa ajili ya kuondoa
kipira nilichowekewa na daktari ameniambia by next week naweza kucheza
mechi, so now naanza kutafuta mtu wa kucheza nae mechi ya majaribio,
ambae yuko tayari kucheza mechi ya majaribio ani-pm tafadhali
Asanteni
NB: mods, this thread is for my MMU mates
najua sio wewe
nimeuliza kama unafananania shepu hilo?
Aisee usikose kutuhadithia tafauti iliyopo na kama kuna majuto.
Afu wakati wamekuweka kipira kile, haukuwahi kupata mhemko ukasimamisha? Ilikuwaje? Yaani nataka kujua shida ulizopata ili kufikiria zitatuliwe vipi.
NA watu wazima wanawekewa vipira? Ngozi imekomaa vile?
Afu vipira wangejua vimefulia, havinaga kile ki bump :A S-confused1:
kwaio unatafuta m2 wa kukutoa upya co?
Ipo karakana ya kurudishia hiyo mkuu tunamix ngozi ya goti na ya kalioni!!!!!
Ila naona MMU mates hawakujitokeza kunipa mechi ya majaribio, Lkn usijali, sikosi wa kucheza nae this weekend
najua sio wewe
nimeuliza kama unafananania shepu hilo?