Nimepokea taarifa ya baadhi ya raia wa Afrika Kusini kuwataka wageni kuondoka nchini mwao

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,603
29,748
Nimepokea hivi karibuni voice note kutoka kwa Mtanzania anayeishi Afrika Kusini. Sauti hiyo ya Dudula Master ambaye ni mhamasishaju mkubwa wa Xhenophobia ametoa onyo dhidi ya wageni wote kuondoka Afrika ya Kusini kuanzia tarehe 02 Septemba 2022 hadi March 2023.

Nchi zetu hususan Tanzania zinapaswa kuhakikisha usalama kwa raia wao wanaoishi kule kihalali na ikiwezekana kuweka utaratibu wa kuwaondoa raia wake Afrika ya Kusini.

Matishio haya yamekuwa yakifanyika bila hatua zozote kuchukuliwa hivyo inawezekana baadhi ya watumishi wa vyombo vya dola vya Afrika ya Kusini ni wahusika wa hizi operesheni dhidi ya wageni Afrika Kusini.

Hatulipi ubaya kwa ubaya bali kumtenga mtu mbaya ni sehemu ya kumpa fundisho dhidi ya mtenda ubaya. Ni wakagi sasa wa nchi za SADC kuitenga Afrika ya Kusini na ikiwezekana Umoja wa Africa (AU) kuiwekea vikwazo Afrika Kusini mpaka watakapoondoa vitisho dhidi ya usalama wa wageni ndani ya nchi hiyo.

Screenshot_20220818-104530_WhatsAppBusiness.jpg
 
Attachments

  • AUD-20220818-WA0004.ogg
    1.1 MB
View attachment 2327204

Nimepokea hivi karibuni voice note kutoka kwa Mtanzania anayeishi Afrika Kusini. Sauti hiyo ya Dudula Master ambaye ni mhamasishaju mkubwa wa Xhenophobia ametoa onyo dhidi ya wageni wote kuondoka Afrika ya Kusini kuanzia tarehe 02 Septemba 2022 hadi March 2023.

Nchi zetu hususan Tanzania zinapaswa kuhakikisha usalama kwa raia wao wanaoishi kule kihalali na ikiwezekana kuweka utaratibu wa kuwaondoa raia wake Afrika ya Kusini.

Matishio haya yamekuwa yakifanyika bila hatua zozote kuchukuliwa hivyo inawezekana baadhi ya watumishi wa vyombo vya dola vya Afrika ya Kusini ni wahusika wa hizi operesheni dhidi ya wageni Afrika Kusini.

Hatulipi ubaya kwa ubaya bali kumtenga mtu mbaya ni sehemu ya kumpa fundisho dhidi ya mtenda ubaya. Ni wakagi sasa wa nchi za SADC kuitenga Afrika ya Kusini na ikiwezekana Umoja wa Africa (AU) kuiwekea vikwazo Afrika Kusini mpaka watakapoondoa vitisho dhidi ya usalama.wa wageni ndani ya nchi hiyo.
Acheni kufanya biashara ya madawa na u jambazi nchi za watu. Tena mfie huko huko. Wa Africa kusini walipokuwa Tanzania hawakutengeneza magenge ya uharifu, ila ninyi mmeunda magenge ya uharifu mpaka mnataka kuwatawala na kuchukua chocho zote za dili za kiharamia. Lazima wawaue.
 
Mkuu Kuja hapa na kichwa cha Habari kama hiki sio vema wakati unajua kabisa kuwa huu ni UONGO, na elewa humu SIO wote ni mazuzu, guy's huu ni uongo, kinachofanyika sasa hapo SA,kwanza home affairs yao imeamua not to extend Zimbabwe special permit, hii permit iliwaruhusu wazimbabwe waishi SA kwa muda wa 4yrs each na ilikua renewable, mwaka jana wameamua kuterminate hizi permits na wamepewa miezi 12 ili waombe permits zingine (SA wana zaidi ya 15 different types of permits),effects ni kubwa maana wazimbabwe ndio wengi ndani ya SA, na la muhimu mno SA sio kwamba inazuia immigrants kuingia, isipokua wanakutaka uingilie MLANGONI sio kuruka ukuta, hata sisi hapa nchini mgeni aingilie pale border sio Kuja na njia za panya, ukikamatwa utapigwa vibaya mno(ili usirudie tena)then jela au fine na rudi kwenu,maana huna adabu huwezi Kuja nyumbani kwangu kwa kuingilia dirishani wakati mlango upo wazi;DUDULA ni movement ambayo inatia pressure kwa serikali ili I deal na illegal immigrants, wenye permits halali wapo safe for now;watu wa viwanja msikatishwe tamaa na hoja kama hizi, tembea katafute maisha, make sure una passport, pitia MLANGONI na ukipewa 90days za visa,ikiingia badilisha kupata long visit visa
 
Mimi washkaji zangu kibao wako south Africa yaani kwetu ndo mchezo huo.

Na pia nipo kweny group fulani hivi la sailors wanaoishi south africa ila kiukweli hali sio shwali haipiti siku mbili bila ya kutangazwa msiba Kuna kiongozi amejitolewa katika kusimamia watanzania wenzio mungu amlipe anaitwa Mohamed msangi Taliban ...Jamaa daily anatangaza misiba na kuhakikisha wameletwa bongo.

Mwaka Jana tumzika washkaji wawili juzi katia jamaa mmoja anasema wameanza kupigwa search mwanzo mwisho na kipigo hali ni ngumu mno huko sio pazuri.
 
Acheni kufanya biashara ya madawa na u jambazi nchi za watu. Tena mfie huko huko. Wa Africa kusini walipokuwa Tanzania hawakutengeneza magenge ya uharifu, ila ninyi mmeunda magenge ya uharifu mpaka mnataka kuwatawala na kuchukua chocho zote za dili za kiharamia. Lazima wawaue.
Hivi uliacha kuwa punda lini kwani?

Elewa swali
 
Mkuu Kuja hapa na kichwa cha Habari kama hiki sio vema wakati unajua kabisa kuwa huu ni UONGO, na elewa humu SIO wote ni mazuzu, guy's huu ni uongo, kinachofanyika sasa hapo SA,kwanza home affairs yao imeamua not to extend Zimbabwe special permit, hii permit iliwaruhusu wazimbabwe waishi SA kwa muda wa 4yrs each na ilikua renewable, mwaka jana wameamua kuterminate hizi permits na wamepewa miezi 12 ili waombe permits zingine (SA wana zaidi ya 15 different types of permits),effects ni kubwa maana wazimbabwe ndio wengi ndani ya SA, na la muhimu mno SA sio kwamba inazuia immigrants kuingia, isipokua wanakutaka uingilie MLANGONI sio kuruka ukuta, hata sisi hapa nchini mgeni aingilie pale border sio Kuja na njia za panya, ukikamatwa utapigwa vibaya mno(ili usirudie tena)then jela au fine na rudi kwenu,maana huna adabu huwezi Kuja nyumbani kwangu kwa kuingilia dirishani wakati mlango upo wazi;DUDULA ni movement ambayo inatia pressure kwa serikali ili I deal na illegal immigrants, wenye permits halali wapo safe for now;watu wa viwanja msikatishwe tamaa na hoja kama hizi, tembea katafute maisha, make sure una passport, pitia MLANGONI na ukipewa 90days za visa,ikiingia badilisha kupata long visit visa
Tatehe 15 August ameuawa kwa risasi Mtanzania huko SA.

Marehemu ni mkazi wa Mwananyamala.kwa Zakaria.

Wiki moja nyuma aliuawa Mtanzania (wa mikoani) kwa shaba pia huko huko SA.
 
Yes mkuu kuuawa kwa mtanzania mwenzetu ni huzuni kubwa kwetu wote, ILA Kuja na mada za kuleta mtafaruko sio vema,mataifa mengi raia wanauawa ndani ya SA including a lot of zimbabweans, na hakuna kauli iliyotolewa kuwa foreign citizens waondoke hiyo next march, na pia elewa wahamiaji sio wa Afrika tu,kuna wazungu wengi tu,Asians wengi tu,tusitarget Waafrika tu, wazamiaji wa SA bado fursa ipo ila make sure una passport na ingilia mlangoni sio kuruka ukuta ,utapewa 90days hizi ni siku nyingi kwa kuoa,kuolewa, etc etc ili uweze kuomba long term visa
 
Back
Top Bottom