Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe πŸ™‚

Classmate leo dada umefunguka humu mpaka siamini kama ni wewe πŸ˜‚
 
Humu ndani bwana 😁😁 kama ulivyosema hapo juu unaweza kujikuta umejiingiza kwenye ugomvi mbao huujui, kisa umejiunga kwenye kakikundi ambako hata wewe hujui kwamba ni kakikundi
Unaamka asubuhi una maadui wapya usiowajuaπŸ˜‚ kisa ulilike post ya crush wake utajutraa
Halafu wanajazana ujingaa mpaka unajiuliza hivi humu watu wanajitambua kweli au ndio watoto wengi🀭
 
Humu ndani bwana 😁😁 kama ulivyosema hapo juu unaweza kujikuta umejiingiza kwenye ugomvi mbao huujui, kisa umejiunga kwenye kakikundi ambako hata wewe hujui kwamba ni kakikundi
Kweli nilijifunza hilo kwenye ugomvi wa Depal na yule mwanajeshi, unashangaa tu unashambuliwa na kikundi cha watu na hata huelewi nini kinaendelea!
 
Sasa nyie mnaniacha mm nifanye je sasa,


Imagine binti kiziwi kanifukuzia mrembo wangu na kuifanya nia yangu kwa ShesRise_1 kuota mabawa na pia ephen_ kunipakazia stori za uongo ili mradi tu mm na wewe uhusiano wetu ubomoke..
Wewe ni mwanaume wa aina gani unarukia rukia kila mwanamke humu? huoni aibu?
 
Nalog out tu, nafocus na na πŸ’°πŸ’°πŸ’°.
Haya mambo ya mitandaoni mimi siyachukulii kwa umuhimu kivile!
Hongera, unajua wengi wana log out ID ya Majuto na ku log in ID ya Ngosha, sasa kama wewe unaweza kupotezea mitandao hadi usijue kinachoendelea kabisa manake bado hujaathirika na kuwa online hasa jf. Hii kitu naitaka, nitafanyaje, bado sijapata solution.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…