Nimepigwa na butwaa

Sema tu vile hatujuani
Na ingekua tunajuana kuna mimi hapa kila leo napondaga ndgu upande wa baba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Kuna mmoja alijiunga na nikampa id yangu kabisa sema kashasahau..

Huwa namuonaga humu anapita pita kiufupi ajitambui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Kwamba ndugu wa baba huwakubali??
 
Aroooooo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Pesa za kufanyia mahitaji yako.
Are we serious yaani wanitafute wanipe pesa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ oa weee mbona sherehe..

Nani huyo anitafute et anipe pesa ya kujikimu are yu seriously ... Nani huyo mzee dingi au dada zake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dada zake,😁
 
Dada zake,😁
Uhuhuhuhuhuhuhuh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wapo wa kishua ndio ila wakikutafuta watakupa kazi ya kufanya ila sio kupewa pesa,,,

Kiufupi hizo ni ndoto... Mybe ije kutokea 2070 huko yaan shangazi tu aamue anitafute

""Poor nimekutumia pesa hiyo ujikimu""

Alafu agundue nini an...
Acha kuota
 
Nasikiaga mashangazi sio poa😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…