Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,493
Tafuta hela kwanza
Mimi hapa lakini ninakupenda hadi nahisi kuumwa Marrianah Mama![]()
Mimi hapa lakini ninakupenda hadi nahisi kuumwa Marrianah Mama![]()
Mimi nakumbuka enzi zangu nilitapeleliwa 10,000 na jimama moja hivi nikatulia maana nilikuwa naishi nalo kota moja. Kuna siku umeme ukakata halina hela likaniomba nilikopeshe nikalimbia lije geto lichukue nikafunga mlango yaliyoendelea alikimbia akasahau kama alikuja kuomba hela ya umeme. Since then sikutaka mazoea kabisa
HaswaaaaNakazia.... Sasa mtu pesa hana anatongoza mwanamke anafikiria yule mtu atatunzwa na nani???? Mambo ya kutaka kumiliki wanawake huku wanagongewa haya.....
Najua wapo wa anaetunzwa mke.... Nawajibu kabisa anaepaswa kuombwa mgegedo ni mke
supu ya jelo na chapati mbili.. Na chench ingebaki kabisaa
ndio maana vijana wanakuwa marioo siku hizi, hawana hata buku wala kazi ila wanataka wao watunzwe na wanapata mijimama
Khee mmeshabadilisha na maana ya malaya tena? Ninyi si mnasemaga mwanamke aliyetembea na wanaume wengi ni malaya ila mwanaume aliyetembea na wanawake wengi ni kidume?
Kwani papuchi unaichukuliaje? Ingekuwa siyo ya maana ungetafuta namna nyingine ya kumaliza haja zako kila siku!ina maana umewahi kuonga nyumba kisa papuchi
Weee kuna wanawake wamevifuga ndani hivyo na bado vinawanyanyasa na vinawasaliti havinaga hata shukrani
JaniKwa hiyo buku sio pesa eehh..
Amepigwa BUKUbaharia nshajua umepgwa parefu
Sasa basi kama hamuwezi kubadilisha hiyo mitazamo yenu ndiyo msilalamike wanawake wanapowasumbua kuwapa mizigo na nimesema hiyo ni mitazamo tu kwa sababu kwenye dunia hii hii tunayoishi wapo wanawake wengi walioolewa na wanaume zaidi ya mmoja kwa wakati mmojaMwanamke anaweza kuolewa na wanamume zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja?. Mwamme anaweza kuoa wanawake zaidi ya mmoja na nirukusa kisheria za serikali na baadhi ya dini.
Buku tu mkuu unalia namna hi?😄😄😄Naandika haya huku roho ikiniuma sana. Kabuku ( Tsh 1000 /= ) kangu kameenda kizembe sana. Dah
Siku hizi wadada wamekuwa wepesi sana kutoa namba zao mitandaoni..
Basi bana, juzi kati nkamuomba manzi flani namba. Fasta akanipa. Nkabaki nikijisemea ' Huyu naoa kabisaa '
Basi nkampgia, hakupokea. Bdae nkapga akadai hakuwa na kifurushi, ndio maana kashindwa kuntafuta bda ya kuona misd col.
Nkamwambia uswze. Akasema ' niungie bathiiii bandooo ' kwa sauti yaoo
Kimoyomoyo nkasema ' Tayaliiiiiiiiii '
Ila nkasema fresh, ngoja nijilipue tu. Ile kinyonge nkaenda kwa mangi nkanunua TIGO YA Tsh 1000/= nkamtumia
Athanteeeee ..' Ndio majb yake '
Nkasema fresh Mamilooo.. Takupigia bdae sasa. Akajibu poa.
Asubh nimempgia hakupokea pia. Nmepiga mida hii akadai pia hakuwa na simu plus hana kfurush. ' Niungiee basi bandoooo.. '
Nikasemaaa, Ayaaaaaaaa. Huyu nae vipi. Boyaaaaaàa nini. Kashanigeuzaaa mi falaaa wake sasa...
Sitatuma tena pesa yangu kwa hawa viumbe aiseee..
Buku langu si bora ningeenda kunywa supu ya jelo na chapati mbili.. Na chench ingebaki kabisaa
Nimefuta na namba japo roho bado inauchungu na Buku langu..
Kama kuna mwanaume ambaye kwake buku ni kubwa, basi hastahili kuwa na mwanamke yaani tena hastahili kabisa hata kuwa na hamu ya kufanya ngono anatakiwa atafute pesa aache kuwaza ujinga.
Siyo ujinga, huyo mwanaume anayeona buku kubwa atulie na hamu zake kwani kalazimishwa kuwa malaya?
















hatari sanaAnaetunzwa ni mkeNakazia.... Sasa mtu pesa hana anatongoza mwanamke anafikiria yule mtu atatunzwa na nani???? Mambo ya kutaka kumiliki wanawake huku wanagongewa haya.....
Najua wapo wa anaetunzwa mke.... Nawajibu kabisa anaepaswa kuombwa mgegedo ni mke
hatari sana
Kwani nawewe buku ni kubwa kwako?
♂️
♂️duuuuuh buku ndo unalia lia