Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Hahaha.. Nilichogundua kwa hawa viumbe ni kuwa wanatoa namba zao mitandaoni ili wajinufaishe kiuchumi ( Mizinga )

Hupigwi mznga peke ako. Na hawana tabia ya kusave namba. Yani ukijichanganya kutuma ulichoombwa shauri yko.. Ukikaa kmy napo utajua mwenyew.

Kwa kifupi hawana rekod zozote kuanzia wamilik na namba ( Waliopgwa mzinga ) Nani katuma. Nan hajatuma..
Huyo unamtumia vocha ya 5000/= kabisa na usipige simu tena alafu unatulia zako bila kutarajia chochote in return kutoka kwake, nakuhakikishia tu utamla hata mwaka 2020 atarudi tu kwa njaa siku moja,
Usiwe na haraka pia jifunze kuweka viporo.
 
Mimi nakumbuka enzi zangu nilitapeleliwa 10,000 na jimama moja hivi nikatulia maana nilikuwa naishi nalo kota moja. Kuna siku umeme ukakata halina hela likaniomba nilikopeshe nikalimbia lije geto lichukue nikafunga mlango yaliyoendelea alikimbia akasahau kama alikuja kuomba hela ya umeme. Since then sikutaka mazoea kabisa
 
Ulimuweza aise

Hao wa kwenye mitandao kwanza huwa sio wanawake ni madume yanatumia picha za wadada.

Nawazungumzia ninaokutana nao ana kwa ana.
 
Kipi kilitokea hadi alisahau alikuja kuomba hela ya umeme?
Mimi nakumbuka enzi zangu nilitapeleliwa 10,000 na jimama moja hivi nikatulia maana nilikuwa naishi nalo kota moja. Kuna siku umeme ukakata halina hela likaniomba nilikopeshe nikalimbia lije geto lichukue nikafunga mlango yaliyoendelea alikimbia akasahau kama alikuja kuomba hela ya umeme. Since then sikutaka mazoea kabisa
 
Kuna Mmoja Juzi mchana tulikubaliana Aje Tudinyane, Mda ulipofika hakutoke kumcheki hakupokea,

Imefika saa 2 usiku Anakanitumia Sms,

My uko Wapi,

nkamjibu Nipo kitaa,

akasema nataka kuja,

nkamuuliza unakja kulala?

Akasema ndiyo ila nina hamu na Kiepe,

nkasema Poa

Nkaacha nilichokua nafanya Nimuwai, si unajua kidume ukishaambiwa na totoz kua inakuja kulala, Nkanunua kiepe na mirinda nyeusi take away. Nkamwambia nimeshafika home, mda kidogo akaibuka, akala kiepe chake akamaliza

Akaanza kujigunisha, nkamuuliza vipi mbona unaguna guna, eti dada kanitumia sms hapa anadai niende mara moja, alafu ndo nirudi, nkasema acha utani, akasema kweli, kamwambia ebu niione akagoma, Nkamwambia hapa hutoki, Akaanza kupayuka sasa unanikataza hili iweje, nkamwambia sipigwi kiboya isitoshe umenipotezea mda, akasonya, nkamchapa makofi mawili akalala mbele akaacha na kisimu chake mpaka leo ajakifata
Njaa hizo madem wengine sijui wapoje
 
Naandika haya huku roho ikiniuma sana. Kabuku ( Tsh 1000 /= ) kangu kameenda kizembe sana. Dah

Siku hizi wadada wamekuwa wepesi sana kutoa namba zao mitandaoni..

Basi bana, juzi kati nkamuomba manzi flani namba. Fasta akanipa. Nkabaki nikijisemea ' Huyu naoa kabisaa '

Basi nkampgia, hakupokea. Bdae nkapga akadai hakuwa na kifurushi, ndio maana kashindwa kuntafuta bda ya kuona misd col.

Nkamwambia uswze. Akasema ' niungie bathiiii bandooo ' kwa sauti yaoo

Kimoyomoyo nkasema ' Tayaliiiiiiiiii '

Ila nkasema fresh, ngoja nijilipue tu. Ile kinyonge nkaenda kwa mangi nkanunua TIGO YA Tsh 1000/= nkamtumia

Athanteeeee ..' Ndio majb yake '

Nkasema fresh Mamilooo.. Takupigia bdae sasa. Akajibu poa.

Asubh nimempgia hakupokea pia. Nmepiga mida hii akadai pia hakuwa na simu plus hana kfurush. ' Niungiee basi bandoooo.. '

Nikasemaaa, Ayaaaaaaaa. Huyu nae vipi. Boyaaaaaàa nini. Kashanigeuzaaa mi falaaa wake sasa...

Sitatuma tena pesa yangu kwa hawa viumbe aiseee..

Buku langu si bora ningeenda kunywa supu ya jelo na chapati mbili.. Na chench ingebaki kabisaa

Nimefuta na namba japo roho bado inauchungu na Buku langu..
duuuuuh buku ndo unalia lia
 
Nakazia.... Sasa mtu pesa hana anatongoza mwanamke anafikiria yule mtu atatunzwa na nani???? Mambo ya kutaka kumiliki wanawake huku wanagongewa haya.....

Najua wapo wa anaetunzwa mke.... Nawajibu kabisa anaepaswa kuombwa mgegedo ni mke
Kama kuna mwanaume ambaye kwake buku ni kubwa, basi hastahili kuwa na mwanamke yaani tena hastahili kabisa hata kuwa na hamu ya kufanya ngono anatakiwa atafute pesa aache kuwaza ujinga.
 
Ahahahahha shangaa wewe
Ndiyo ila wewe troublemaker hauwezi kumsaidia mtu buku mbona wanaume wenzenu huwa mnawasaidia ila wanawake mnataka hadi wawape ngono?

Yaani unataka mwanamke ambaye mnaenda kufanya tu just for fun hamna malengo yoyote akupe mzigo kwa buku halafu mkitoka hapo wewe unaheshimika yeye anadharaulika is that what you guys want?
 
Buku anaona nyingi elfu tano ataweza?

Back
Top Bottom