Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama

Kwa jinsi wazazi wangu na ndugu zangu tunavyokaa kwa upendo nipo hata tayari kufa kwa ajili yao mkuu, ila kwa hayo maamuzi yako upo sahihi , inategemea mpoje kama famalia.
 
Haya maisha ukizaa usitake umperekeshe mtoto wako, kama hukujipanga ukiwa kijana ni wewe mwenyewe na ujuha wako

Mtu yoyote akisema tu nisaidie kitu flani nakata simu na block juuu, elewa neno mtu yoyote hata kama ni kaka, dada, baba au mama napiga block kila mtu afanye maisha yake sitaki upuuzi wa kuharibiana bajeti apaa

N. B. laana ni neno la kutengezezwa tu Wala hakuna kitu laana kama inavyohisiwa
kuna wajinga 37 wamelike hii post, inasikitisha sana. kaa ukijua laana IPO labda hao wazazi wako wasikulaani, ww unashindwa kumsaidia mamaaako, shauri yako
 
TAFUTA HELA MZEE, ACHA MALALAMIKO

Watu ambao waliacha starehe zao ili upate kula, kuvaa, kulala, kusoma, hadi baadae umekuja kuwajua wakina Mwajuma ndala ndefu

Kisha sasa hivi wakina Mwajuma ndala ndefu wanahongwa halafu wazazi waonekane ndio wategemezi na hawafai kusaidiwa

Fool and stupid post of the year
Kuna mzee anapata pension milioni 1 kwa mwezi. Hapohapo hana mtoto wala mtu wa kumhudumia. Mkewe walitengana na mwanamke pia alikua mtumishi hivyo anapata pesa yake ya kila mwezi. La kushangaza huyo mdingi anafosi atumiwe hela kila mwezi na watoto wake. Watoto wanamuuliza unapata M na huna jukumu lolote kusema unasomesha au unalea..pesa unapeleka wapi anaulizwa anakua mkali.

Nafikiri kumsaidia mzazi inategemea. Kumsomesha mtoto uliyemleta sio msaada ni wajibu wa lazima. Kama mzazi hana kitu ni wajibu kumsaidia, lakini kama huyo mzee hapo juu niliyemuelezea sio lazima na wala hakuna dhambi hapo maana inaonekana pesa yake ya pension anafuja.
 
Haya maisha ukizaa usitake umperekeshe mtoto wako, kama hukujipanga ukiwa kijana ni wewe mwenyewe na ujuha wako

Mtu yoyote akisema tu nisaidie kitu flani nakata simu na block juuu, elewa neno mtu yoyote hata kama ni kaka, dada, baba au mama napiga block kila mtu afanye maisha yake sitaki upuuzi wa kuharibiana bajeti apaa

N. B. laana ni neno la kutengezezwa tu Wala hakuna kitu laana kama inavyohisiwa
Hapo kwenye (N.B) it makes sense 👊 umetisha
 
Haya maisha ukizaa usitake umperekeshe mtoto wako, kama hukujipanga ukiwa kijana ni wewe mwenyewe na ujuha wako

Mtu yoyote akisema tu nisaidie kitu flani nakata simu na block juuu, elewa neno mtu yoyote hata kama ni kaka, dada, baba au mama napiga block kila mtu afanye maisha yake sitaki upuuzi wa kuharibiana bajeti apaa

N. B. laana ni neno la kutengezezwa tu Wala hakuna kitu laana kama inavyohisiwa
yasome tena uliyoyaandika kuhusu kuwa block wazazi wako,uone kama akili zako ziko sawa
 
Pesa ina mfumo mmoja tuu , hii Siri ni nadra kukuambia mtu , ukiipata jitahidi kuitoa Kwa Jambo Jema , eg kusaidia watu wenye uhitaji Kwa ambao unawafahamu ni vzuri zaidi , kutoa sadaka n.k , pesa ukiing'ang'ania hutakuja kuipata kamwe , ndo mana wanawake wengi hawana mzizi wa Pesa , Kwa sababu walinyimwa mkono wa Kutoa, wao hupenda kupokea Ila kuitoa ni ngumu Wengi wao daima hudumu kuwa omba omba mpak wanakufa,
Hii ndo kanuni yangu siku zote na napata zingine zina flow
 
Sasa walimu mkae mbali na Mpwayungu Village. Kama wazazi wake washakula block nyinyi Ni wakina Nani??
 
Haya maisha ukizaa usitake umperekeshe mtoto wako, kama hukujipanga ukiwa kijana ni wewe mwenyewe na ujuha wako

Mtu yoyote akisema tu nisaidie kitu flani nakata simu na block juuu, elewa neno mtu yoyote hata kama ni kaka, dada, baba au mama napiga block kila mtu afanye maisha yake sitaki upuuzi wa kuharibiana bajeti apaa

N. B. laana ni neno la kutengezezwa tu Wala hakuna kitu laana kama inavyohisiwa
Kila mtu amuombe babq Ake
Kwa hyo wew itabd uombwe na wanao[emoji871]
 
Haya maisha ukizaa usitake umperekeshe mtoto wako, kama hukujipanga ukiwa kijana ni wewe mwenyewe na ujuha wako

Mtu yoyote akisema tu nisaidie kitu flani nakata simu na block juuu, elewa neno mtu yoyote hata kama ni kaka, dada, baba au mama napiga block kila mtu afanye maisha yake sitaki upuuzi wa kuharibiana bajeti apaa

N. B. laana ni neno la kutengezezwa tu Wala hakuna kitu laana kama inavyohisiwa
Sijasoma uzi lakini kumuita mzazi wako ombaomba, inaonesha kiasi gani ulivyo mpumbavu
 
Mod's hii ni thread ya kijinga sanaa naomba muifute inahamasisha uchoyo hata kwa wazazi wako

Kwa maoni yangu naomba hii thread ifutwe inaleta negative effects in society
 
Back
Top Bottom