Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama

Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama

Mnambembeleza mtu ambaye kasha jichokea na maisha.Mpaka kafika hapo kala vya wazazi ama walezi vingapi harafu sasa hivi kakua kapata vijisenti ananyea kambi wapuuzi km hawa unawaacha tu majibu hayachelewi l..Ww unamblock mzazi kisa kaomba hela [emoji3064].Ww wablock sana hata simu usiwapigie majibu utakuja kuyapata hapa hapa duniani.

Maisha ni hiyari ya mtu.
Kama hataki hakuna sheria hata moja inayomlazimisha mtoto Amsaidie mzazi wake au ndugu zake.
Hisani sio amri. Hisani ni hiyari/mapenzi.
Wangapi wanasaidia na kutunza wazazi wao na wanachapika na maisha yanawagaragaza.

Kama moyo wake unamtuma hivyo muacheni afanye atakavyo.
 
Haya maisha ukizaa usitake umperekeshe mtoto wako, kama hukujipanga ukiwa kijana ni wewe mwenyewe na ujuha wako

Mtu yoyote akisema tu nisaidie kitu flani nakata simu na block juuu, elewa neno mtu yoyote hata kama ni kaka, dada, baba au mama napiga block kila mtu afanye maisha yake sitaki upuuzi wa kuharibiana bajeti apaa

N. B. laana ni neno la kutengezezwa tu Wala hakuna kitu laana kama inavyohisiwa
Waheshimu WAZAZI wako upate HERI Na miaka MINGI DUNIANI.

HII NI AMRI YA MUNGU KWA WANADAMU.

TUBU.

Kisha umasikini ulionao utakutoka!
 
Na hii mvua umkute anabembelezwa atoe hela ya kodi na wifi anatoa hela kama hana akili nzuri Ila mzazi apige simu weeee

Kama wazazi wake walitumia pesa vile walivyotaka kwa nini yeye asitumie vile atakavyo?
Sio dhambi mtu kutumia kitu chake apendavyo. Sio dhambi na sio kosa kisheria.

Hata akienda kunywea pombe ni sawa.

Wazazi tukizaa watoto tuwafundishe Upendo sio kuwabebesha mizigo isiyowahusu.

Upendo hausubiri malipo. Kwamba ninakusomesha au kukulea ili uje kunilea. Hapo hakuna mzazi mwenye upendo. Ni biashara au uwekezaji
 
Huyu jamaa ninahisi kapata mwenza baada ya andiko lake lile la matamanio yake ya kuwa dada na hivyo makazi ya mmewe ni huko Namibia na sasa wazazi wake wanataka mahali wakati mmewe hayuko tayari kutoa,kifuatacho ni ku wa block ili kunusulu ndoa.

Ninahisi lkn.
 
Umasikini ni mbaya sana unaweza kuwaandikia uzi hadi wazazi wako aisee tutafute pesa ipunguze hizi stress za kijinga jinga...ukiwa na pesa hauwezi kufikiri kuhusu watu unaotakiwa kuwasaidia..
 
Wengine wazazi waliotangulia mbele ya haki wanatamani wangekuwepo wawasaidie ila ndio hawapo Tena kwa sie ambao bado wazazi wapo saidia bila kuombwa kama Baraka zipo na laani ipo achana na mtoa post aliyelaaniwa kitambo anataka kushawishi na wengine wajiunge naye , haya mambo ya social media ukifuatilia unaweza ingia chaka bila kujua
 
Binadamu Huwa tunakuwa na kibri tukiwa na afya na kauwezo kidogo, usilolijua nikwamba unaweza kuamka kesho ukawa unawategemea na kuwahitaji zaidi kuliko wanavyo kutegemea Sasa, tusilewe mafanikio, na kama unafanya hivyo acha mara Moja
 
Mtoa mada anatabia za kimaskini japo hujifanya kuwachukia masikini wenzake kwa waliona na unafuu wa kipato kutoa ni kawaida Tena zungukia hadi vituo vya watoto yatima toa misaada kublock watu ni umaskini kiwango Cha ufukara
 
Haya maisha ukizaa usitake umperekeshe mtoto wako, kama hukujipanga ukiwa kijana ni wewe mwenyewe na ujuha wako

Mtu yoyote akisema tu nisaidie kitu flani nakata simu na block juuu, elewa neno mtu yoyote hata kama ni kaka, dada, baba au mama napiga block kila mtu afanye maisha yake sitaki upuuzi wa kuharibiana bajeti apaa

N. B. laana ni neno la kutengezezwa tu Wala hakuna kitu laana kama inavyohisiwa
Umeshikwa pabaya ndugu yangu. Sio bure
 
Mtoa mada ukimfatilia vizuri utagundua moyo wake upo blocken yani hii inatokana na mambo mbali mbali huenda alifanyiwa ukatili utotoni kwake alibakwa au ni masikini sana na mchoyo kupitiliza na ana matatizo ya akili
 
Back
Top Bottom