Nimependa changudoa

Mh hapo patamu
 
Mi nakushauri ujaribu kuchunguza kwanini aliamua kuwa changudoa, Kama atakuwa aliamua kuwa CD kwa sa babu ya maisha duni ya kwao ukimuoa atatulia, lakini kama kwa maisha si duni basi huyo temana nae kwani hataacha hiyo hiyo tabia.

Nimeona wajamaa wengi wakioa machangudoa na wanatulia
 
Kwao hawana dhiki sana. Wako poa tu
 
Tafuta movie inaitwa "Prety Woman"kacheza jamaa anaitwa Richard anatumia jina la Edward alimpenda changudoa Vivian utapata bonge la funzo.
 
Kijana tunakubali mapenzi hayabagui...... ila maisha yanabagua!! Ubaguzi wa maisha unafanywa na makosa mbalimbali ya mtu binafsi au watu wanaomhusu mhusika!! Changudoa ni mwanamke kama wengine, na wengi wanuwezo mkubwa sana wa kumridhisha mwanaume kimapenzi, Tatizo na hofu yangu kubwa ni vitu 2;-
1. Wewe kumridhisha - simaanishi kimapenzi- coz inawezekana kabisa Cd kuinjoi na kuridhika kabisa na mapenzi ya mtu... na maanisha mahitaji yake.. Wengi wa hawa viumbe huingiza pesa nyingi sana kwa siku (hasa wale High class CD).. bahati mbaya sana hata matumizi yao ni makubwa sana (mavazi, vipodozi, vilevi na starehe mbalimbali) yaani akipata leo kesho hana, anamka mweupe na kwenda kuzisaka upya!! kaka, pamoja na hiyo kazi yako uwezekano mkubwa ni wewe kufeli!!

2. Yeye kuridhia - Hili ni tatizo kubwa sana kwa hawa dada zetu... Ni wachache sana (almost negligible percentage) huamua kutulia na akitulia baada ya muda hurudi, yaani siku ukimzingua tuu anakutosa anarudi mzigoni... utamfungulia duka na gari.. lakini akikaa dukani kwa siku kaingiza faida ya 20,000 sijui 30,000(inategemea na duka lenyewe), wengi hu-compare na kazi yake na kuona ule muda wakukaa tu na kufugwa wakati angukuwa kwenye LINDO lake angepiga hela ndefu, angepata kampani ya mashosti zake!!

Kifupi kaka KUNGURU HAFUGIKI...... tulia utapata mademu wapo wazuri wenye utulivu wao japo sio 100%
 
Ukishamwoa mkubalie awe anaenda kujiuza
 

Ninaweza kukupa ushauri mzuri .....kwa sababu niliwahi mpenda changudoa(same case as yours) na nikamuoa
na niliyokumbana nayo ni makubwa sana, sasa hivi nimeachana naye, nilichogundua kuwa hawa wanawake wanaojiuza(changudoa) wameathirika kisaikolojia na wanahitaji kufanyiwa councelling, sikushauri kabisa kumuoa, sitaki upate matatizo niliyoyapata, kama unajihisi ume fall sana na huna budi kumuoa, watafute hawa watu wanaotoa service za councelling, kwa Tz sijui, lakini Kenya wako wengi sana, wanaweza kukusaidia kama utaenda naye watamfanyia councelling na watakupa feedback
 
I'm N Luv Wit A Stripper (Remix)"-TPain
(feat. MJG, Paul Wall, Pimp C, Too
$hort, Twista)
 
Amesema nimnunulie gari na kunfungulia duka la nguo atatulia. My take vyote hvo viko ndani ya uwezo wangu
Huyu mwanamke hakufai, kwa majibu yake haya tu inatosha kuona mtazamo wake, wako wengi kama hao, ukimnunulia gari na duka ndo umemuongeza chati, anaanza ktafuta wazungu, dogo achana na huyu mwanamke anakudanganya tu eti unamtomba vizuri, kagundua wewe sio mjanja anataka kukuingiza mjini.Endelea nae utakumbuka siku yakikupata!
 
Ndugu zangu mnaompa huyu kijana ushauri ni bora hata uwapigie watoto hadithi watakushkuru coz huyu jamaa hashauriki, cjui kwanini ameleta mada maana kila anachoshauriwa anaenda against. OWA BABA UNACHELEEWA KADI ZA MCHANGO LETA HUKU
 
Tafuta movie inaitwa "Prety Woman"kacheza jamaa anaitwa Richard anatumia jina la Edward alimpenda changudoa Vivian utapata bonge la funzo.
Nitaipata wapi mkuu nisaidie
 
Dah mkuu umehit point za ukweli. Yaan ananiburuza sana nakuwa kama mbwa kwa chutu
 
Ndugu zangu mnaompa huyu kijana ushauri ni bora hata uwapigie watoto hadithi watakushkuru coz huyu jamaa hashauriki, cjui kwanini ameleta mada maana kila anachoshauriwa anaenda against. OWA BABA UNACHELEEWA KADI ZA MCHANGO LETA HUKU
Mkuu Demo nashaurika
 
Yawezekana kaka. Maana siku akiwa hajaenda mzigoni ananiibukia hata usiku wa manane
 
Yaani huyu hasikii kabisa tunaweza kupanga lkn anapeperuka kama kunguru
 
Ongea nae kwa nn anauza kei.
 
sikiliza moyo wako kaka, so usiponunua hiyo gari na kufungua duka hawezi kutulia? kama nakupenda asingekupa masharti hayo na je kama huna uwezo navyo? eti ninunulie gari na unifungulie duka ndo nitatulia bby looooooh kazi ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…