Nimependa changudoa

we piga tu usepe, utaweza kumtimizia mahitaj yake ya unyumba asitoke nje?
kuna movie moja ya Julie Robert sikumbuki jina,,,aliact kama changudoa akakutana na jamaa mmoja alietaka tu kampani,,,lakini yule jamaa alimbadili kabisa na kuwa mtu anayejiheshim na kuheshimika,,,so unaweza mwokoa pia huyo na kumbadilisha
 
Basi sawa GFSONWIN mimi nitakuchunguza kwa makini kama unafanya coz of situation or ni UTASHI wako tu,halafu NITAKUOA nikuweke ndani .
 
Iliwahi kunitokea nikamkubali dada flan, mdogo kumbe changu. Nilifuta mawasiliano nae haraka sana.
 
si wote wanafanya uchangu kwa hobi,wengine hufanya kutokana na shida au majanga mbalimbali yaliyowasibu,mchunguze kwanza,mshauri akapime na ikibidi umzuie hiyo biashara huku ukimpatia huduma ndogondogo.unaweza kupata bonge la mke hadii mwenyewe ukashangaa,lakini uwe mvumilivu na maneno ya wana wa adam
 
Inaitwa Pretty Woman but hii thread ni ya toka 2012 sijui kama bado ushauri unahitajika!
kuna movie moja ya Julie Robert sikumbuki jina,,,aliact kama changudoa akakutana na jamaa mmoja alietaka tu kampani,,,lakini yule jamaa alimbadili kabisa na kuwa mtu anayejiheshim na kuheshimika,,,so unaweza mwokoa pia huyo na kumbadilisha
 
wanaume tuna vichwa viwili, kimoja kikubwa kimesimama muda wote juu kingine kidogo kinasimama kwa vipindi maalum. hapo kale wanaume tulitumia kichwa kikubwa kufikiri na kuamua(kuongoza maisha). sijui kipi kinakisibu kizazi pendwa cha leo. vijana wetu wanaongozwa na vichwa vidogo masikini ya Mungu. vikisimama tu basi, vichwa vyao vikubwa hufa kibudu!
 
Angeleta mrejesho ingekua poa sana ili tujue alimwoa huyo Dada changudoa Na wanaendeleaje?
 
Angeleta mrejesho ingekua poa sana ili tujue alimwoa huyo Dada changudoa Na wanaendeleaje?
Nadhani hata kujua kama wameshabahatika kupata matunda ya ndoa ingetusaidia zaidi....maana changu inawezekana alitoa mimba nyingi?
 
ila ukiwa hujalewa unaokota khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
hapata wala hupotei mdogo wangu, angalia vitu hivi, je umri wake anafaa kuwa mkeo yaani hajakuzidi miaka, then muulize maswali kuhusu dini yake, kabila lake pia mwambie hupendi afanye mambo hayo ya ukahaba, mpe huduma na mahitaji yote ili asiwe anaenda clubs kujiuza. baada ya hapo mwambie uzuri wake na thamani yake kama mtu anayefaa kupendwa na kuheshimiwa na kuwa na mwanaume mmoja tu.ukifanya hayo basi huyo ni mkeo. ila mkapime, hiv na ya zinaa. ikiwezekana mwambie daktari ukweli ili ampatie matibabu ya kisaikolojia na kiafya ili atokane na hali hiyo ya ukahaba. all ze best!
 
Poa tu, si anayo kama walivyokuwa nazo wengine. mengine yote nyongeza.
 

Kama ni mzuri, fundi wa mambo pita naye tu. Wote wako hivyo hivyo na hiyo tabia ya uchangua hata wale ambao hujawaona. Mengine yote mbele kwa mbele.
 
Mkuu binadamu hubadilika tuu utafanya vyema sana ukimsitir huyo bint kwa kumuoa
 
Weee acha utani changu anafaa tena? many inlove with the dimple have the mistake of marrying the wrong girl....itakuwa kwake. Utamu wa papuchi usikufanye maamuzi ya kijinga
 
Wewe hapo amua hatma yako kama ni ahela au peponi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…