Nimepata soft loan bila riba

Hizo ni pesa chafu na kama alivyodokeza Mwalwisi ziko punishable against "anti- money laundering act". Ole wake yeyote atakayekutwa nazo. Dubai kuna Wa Pakistani na Wa Afghanistan wanauza magari kwa bei ya kutupa na lengo ni kusafisha fedha za dawa za cocaine na silaha
 
Mkuu, mimi takufanyia miundombinu takupeleka Kwa Gavana Beno Nduru upate kibali cha kununua Dola, paundi, then unatafuta place pale mtaa wa Samora unafungua Bureau de Change, upo tayari tufanye kazi?
 
Hizo ni pesa chafu na kama alivyodokeza Mwalwisi ziko punishable against "anti- money laundering act". Ole wake yeyote atakayekutwa nazo. Dubai kuna Wa Pakistani na Wa Afghanistan wanauza magari kwa bei ya kutupa na lengo ni kusafisha fedha za dawa za cocaine na silaha
Mkuu, Dubai sehemu gani? Kama vipi ni-PM
 
Hiyo hela unaweka bond (security) kitu gani ? Au ni unsecured loan ? What if ukishindwa kurudisha ndani ya huo muda ? What if ukichukua huo mkopo (kama ni unsecured loan) ukasepa kimya kimya ? Isije kuwa hizo hela unaweka rehani maisha yako.

Sio rahisi katika mazingira ya kawaida hapa duniani mtu akaanza kwa kukupa bilioni then akategemea uirudishe ndani ya miezi miwili, unless uwe tayari una biashara, au tender au project ambayo inarun na unahitaji cash ya kuiboost. Kuestablish biashara mpaka isettle within huo muda na kupata hao wateja si kazi ndogo. Vinginevyo hiyo biashara iwe ni ya magendo.
 
Chukuwa hela, nunua bonge la bangalow/office kama 3 au 4 hivi ukapangishe kwa NGO wakulipe kwa mwaka wote....
 
2. Ingia mkataba na kampuni ya Bamburi cement ya Kenya kununua meli yote ya cement inayoingia Mwanza. Biashara ni rahisi kwani mara nyingi mzigo wote unanunuliwa pale pale bandarini hata kabla haujaenda godown. Ila kwa taadhari itabidi uwe na godown. Kama utataka contacts kuhusu hii proposal niambie. AU

Mkuu koboko/nyoka sorry naomba nitoke nje kdg ya mada. Jana nilikuwa Arusha looks like hawa jamaa wa Bamburi wanataka kudominate soko la saruijii Arusha na sasa nasikia tena kutoka kwako Mwanza. Hv tatizo ni nini hasa kwamba saruji yetu bei iko juui, ubora uko chini au haitoshelezi? Ninaboreka sana kwamba nafasi za ajira nchini ziko chache sasa tunapoanza kuziexport hata zile chache zilizopo napata hofu kidogo ya future ya watanzania.
 
hapo pekundu.unataka hadi aandike riba ya 15% no ujue ni riba??
sasa ulikopaje hela bila kujua utafanyia nini??
me na doubt huo uwezo wa huyo jamaa kukopesha!!

Mkuu ingawa technically na hii anayotoa hapa ni riba (lakini this is profit interest) tofauti na interest za mkopo ambapo unarudisha pesa ulizokopa na percentage ya pesa ulizokopa regardless umetengeneza faida au la...

Lakini case ya huyu bwana ni kwamba atampa 15% ya faida atakayotengeneza kwahiyo akipata faida ya tshs 100 atampa tshs 15; akipata hasara atamrudishia pesa yake aliyokupa bila riba.

Kwahiyo way out achukue 1bn atumie hata 5m apate faida hata ya 3m alafu amdanganye jamaa alifanya biashara ya kukopesha watu deal zikaharibika na watu hawajamlipa so here is your 1bn
 
Mkuu riba (interest) ni kile kiasi ambacho mtu analipa kutokana na mkopo wa assest ya mkopeshaji. Mara nyingi ni asilimia fulani ya pesa ulizokopa whether you make profit or loss.

Lakini according na hii contract ni kwamba jamaa atatoa 15% ya profit aliyopata (profit = faida), kwahiyo jamaa akipata hasara ni kwamba hatalipa chochote bali atarudisha pesa ya mkopeshaji (this is a kind of Joint Venture) Mkopeshwaji anatumia nguvu zake na akili yake na mkopeshaji anatoa mtaji ambapo atapata 15% ya mapato wakati mkopeshwaji atabaki na 85% (yaani watagawana faida)

well said voice of reason, watu walikua hawajamuelewa hapo.
 
Dah, ina maana ushachukua mzigo? Chukua kaziweke bank baada ya miezi miwili utapata kafaida, ukimpa mwenye pesa 15% ya faida yako I am sure utabakiwa na chochote cha maana. Kumbuka bank ni safe sana kama hizo pesa zenu ni halali.
 
Blue balaa nasikitika umepata fursa ya kukopa kabla hujajipanga siku nyingine fanya utafiti wa biashara gani ya kufanya kabla hujaenda kukopa otherwise watu watakushangaa hata huyo aliyekupa nafasi kukopesha akiona muda mwingi hujaenda kukopa anaweza kuruka
 
RR Wapi utapata riba ya zaidi ya 15% benki kwa miezi 2 labda afanye biashara ya kununua na kuuza dhahabu
 
Mkuu mimi huyo jamaa ningemuita ' angel investor' as opposed to a 'loan shark' kama wengi wanavyomuita hapa jamvini. 15% ya profit sio ishu mahesabu yanachakachulika kaka...

Ushauri wangu.
1. Ila 3b is a lot of money kurudisha kwa miezi 2. Nimewahi kufanya kazi kwenye kampuni yenye mtaji wa zaidi ya 50b na wakaomba mkopo kama huo na kuurudisha wa miezi 12. Kwa vile inaonekana kwako hii ni ' start up capital' muda ni mdogo hivyo negotiate at least miaka miwili AU

2. Ingia mkataba na kampuni ya Bamburi cement ya Kenya kununua meli yote ya cement inayoingia Mwanza. Biashara ni rahisi kwani mara nyingi mzigo wote unanunuliwa pale pale bandarini hata kabla haujaenda godown. Ila kwa taadhari itabidi uwe na godown. Kama utataka contacts kuhusu hii proposal niambie. AU

3. Inategemea jamaa atakubana vipi usiporudisha kwa wakati. Vinginevyo ingiza mtaji kwenye fast moving products hasa sigara na bia cha msingi unyooke moja kwa moja kwa Commercial managers wa haya makampuni na sio depot zao. Mazungumzo yanaweza kuchukua muda kidogo ila mwishoni watakupa dili zuri. Usijali kuhusu 15% ya profit mahesabu utachakachua !!!! Cha msingi jamaa utamlipa pole pole ila utajiongezea muda kibabe akikufuata unamfungulia godown aone bidhaa atakua mpole

Hiyo ya Cement kaka imekaa vizuri, tatizo Kuna Wanaweka mpaka $m nyingi sana pale, yeye anakidai kiwanda!!! Pale Mwanza kuna wakina Lameck wamedominate sana soko hilo; na wana influence na Viwanda vya Kenya-wameweka pesa nyingi mno.
Kwa nini huyo jamaa anataka pesa ya fastafasta? Hesabu za huyo jamaa na pesa yake zinatia mashaka.
 
Nina rafiki yangu ame ni connect na mfanyabiashara fulani mkubwa.
Huyu bwana ana hard cash nyingi hivyo anakopesha bila riba toka shs 1billion to 10billion.

MASHARTI.

1. He needs between 1 -7 days to disburse the funds
2. The money should be returned within two months
3. He must gain 15% of the profit
4. He is not interested in long term investment

Msaada.
Kuna biashara gani sasa hivi inayoendelea ambayo unaweza uka inject kama 3b na kurudisha ndani ya hicho kipindi? Importation ya sukari from Brazil could be ideal ila wajanja wameshawahi.

Naomba mwenye mawazo anifahamishe

Huenda wewe unaacsess na pesa za BOT (and the like), sas unataka kuzifanyia mambo ya DECI! Ogopa sana mkubwa.
 
Mkuu koboko/nyoka sorry naomba nitoke nje kdg ya mada. Jana nilikuwa Arusha looks like hawa jamaa wa Bamburi wanataka kudominate soko la saruijii Arusha na sasa nasikia tena kutoka kwako Mwanza. Hv tatizo ni nini hasa kwamba saruji yetu bei iko juui, ubora uko chini au haitoshelezi? Ninaboreka sana kwamba nafasi za ajira nchini ziko chache sasa tunapoanza kuziexport hata zile chache zilizopo napata hofu kidogo ya future ya watanzania.

mkuu hata mimi nashangaa, but ni eona simba cement wamefungua kiwanda chao kipya kule kenya, si jajua wana means nini hasa
 
Nina rafiki yangu ame ni connect na mfanyabiashara fulani mkubwa.
Huyu bwana ana hard cash nyingi hivyo anakopesha bila riba toka shs 1billion to 10billion.

MASHARTI.

1. He needs between 1 -7 days to disburse the funds
2. The money should be returned within two months
3. He must gain 15% of the profit
4. He is not interested in long term investment

Msaada.
Kuna biashara gani sasa hivi inayoendelea ambayo unaweza uka inject kama 3b na kurudisha ndani ya hicho kipindi? Importation ya sukari from Brazil could be ideal ila wajanja wameshawahi.

Naomba mwenye mawazo anifahamishe
Too good to be true
 
Nina wasiwasi kwamba zinaweza kuwa PESA ZA BANK na kwa kipindi kifupi, wanachota na kukopesha. Muda ukifika, wanazirudisha na faida yao juu. Tatizo ni ukichukua na ukapotea nazo. Sijui wanatumia vigezo gani kwenye kukopesha ili mtu asipotee (Bima) na pesa.

Hiki kipindi ni kifupi sana. Labda ni kwa wale ambao mzigo umefika na hana pesa ya kuutowa mzigo. Anachukua pesa, anatoa na kuuza na kurudisha pesa za watu. All in all, hawa jamaa watakuwa na UTEMI fulani mara ukishindwa kurudisha hiyo dola milioni yao.
 
Back
Top Bottom