Nimepata soft loan bila riba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimepata soft loan bila riba

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by BLUE BALAA, Jul 3, 2011.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nina rafiki yangu ame ni connect na mfanyabiashara fulani mkubwa.
  Huyu bwana ana hard cash nyingi hivyo anakopesha bila riba toka shs 1billion to 10billion.

  MASHARTI.

  1. He needs between 1 -7 days to disburse the funds
  2. The money should be returned within two months
  3. He must gain 15% of the profit
  4. He is not interested in long term investment

  Msaada.
  Kuna biashara gani sasa hivi inayoendelea ambayo unaweza uka inject kama 3b na kurudisha ndani ya hicho kipindi? Importation ya sukari from Brazil could be ideal ila wajanja wameshawahi.

  Naomba mwenye mawazo anifahamishe
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Bila riba vipi wakati hapo pekundu papo? Bado unaamini kwamba kuna bure siku hizi !!!!!!!!. Jaribu uone.
   
 3. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  .....looks like a loanshark to me!!
   
 4. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  1. Pessimist sees difficulty in every opportunity, optimist sees opportunity in every difficult.
  2. You can never possess what you are unwilling to pursue
   
 5. Rocket

  Rocket Senior Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Blue,
  Kama ni kweli kuna watu wanapiga issue kali za importation
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  spear za pikipiki toka china ndugu!ni PM tupige pesa
   
 7. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Wakuu lets do some maths for a minute...
  anakopesha from 1bn; time frame ni two months alafu atachukua 15% ya profit yenu plus initial 1bn yake...

  Kwahiyo unahitaji biashara ambayo in two months sales ziwe zaidi ya 1bn (anything you make after thats you will keep 85%)
  As far as I know any importation ukitumia meli kuleta mzigo ni mwezi mzima kabla ya uzembe wa pale bandarini...

  Unless hizo mali utauza kwa mali kauli mtu akupe pesa wakati anasubiri bidhaa; Mkuu kwa ushauri ili kutaste the water mwambia akupe mkopo mdogo kidogo ambao kwa miezi miwili unaweza ukawa umeshauza bidhaa utakazonunua (volume ya bidhaa za 1bn ni nyingi kuziuza in two months unless unadeal na high value products)
   
 8. C

  CottonEyeJoe JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  What happens if you default and the period goes above the 2 month?
   
 9. m

  mwalwisi Member

  #9
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna mambo ya kuyaangalia kwanza kabla hujajiingiza mtegoni. Kuna uwezekano huyo bwana yupo katika biashara ya pesa haramu. Anatafuta watu wa kumsaidia kusafisha, kama ni kweli na ukajumuishwa adhabu yake ni kali sana na haina dhamana. Kwa individual inakwenda daini ya hadi shs mil 50 au kifungo cha miaka mitano au vyote kwa pamoja. Kama dili ni genuine basi wekeza katika Tbilss baada ya miezi mitatu unapata hela yako na riba
   
 10. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unless you engage in selling cocaine or gasoline in which the big transactions are done within those 2 weeks
   
 11. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  You are absolutely correct that is a bad investment in my view.
   
 12. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Biashara za chapchap tena in the region of Billions of shillings eti zaifanyike within 2 months? Huu ndio ubabaishaji na ufisadi unaoisumbua hii nchi. Kama alivyosema mchangiaji mwengine hapo juu labda uchukue zigo la mabilioni ya cocaine, heroine au wese ndio litanunulika na kuuzika within 2 months , halafu kila mtu atapata chake. All in all huu ndio ubabaishaji unaoendelea hapa mjini tena ndio unaendeleza ufisadi
   
 13. koboko

  koboko Member

  #13
  Jul 3, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mkuu mimi huyo jamaa ningemuita ' angel investor' as opposed to a 'loan shark' kama wengi wanavyomuita hapa jamvini. 15% ya profit sio ishu mahesabu yanachakachulika kaka...

  Ushauri wangu.
  1. Ila 3b is a lot of money kurudisha kwa miezi 2. Nimewahi kufanya kazi kwenye kampuni yenye mtaji wa zaidi ya 50b na wakaomba mkopo kama huo na kuurudisha wa miezi 12. Kwa vile inaonekana kwako hii ni ' start up capital' muda ni mdogo hivyo negotiate at least miaka miwili AU

  2. Ingia mkataba na kampuni ya Bamburi cement ya Kenya kununua meli yote ya cement inayoingia Mwanza. Biashara ni rahisi kwani mara nyingi mzigo wote unanunuliwa pale pale bandarini hata kabla haujaenda godown. Ila kwa taadhari itabidi uwe na godown. Kama utataka contacts kuhusu hii proposal niambie. AU

  3. Inategemea jamaa atakubana vipi usiporudisha kwa wakati. Vinginevyo ingiza mtaji kwenye fast moving products hasa sigara na bia cha msingi unyooke moja kwa moja kwa Commercial managers wa haya makampuni na sio depot zao. Mazungumzo yanaweza kuchukua muda kidogo ila mwishoni watakupa dili zuri. Usijali kuhusu 15% ya profit mahesabu utachakachua !!!! Cha msingi jamaa utamlipa pole pole ila utajiongezea muda kibabe akikufuata unamfungulia godown aone bidhaa atakua mpole
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Billioni tatu....
  Ongea na tff
  ulete manchester au barcelona
  au brazil tena au argentina
  au arsenal au chelsea.....
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Yaani mkuu huyu jamaa ameamuwa kutuchekesha tulionuna. labda hajui kwamba riba = profit.
   
 16. L

  LAT JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu

  these are quick money schemes in which at the end are so bitter,

  in any contract there should be an offer and acceptance but once you have made an acceptance you are in for it cause it is an agreement

  take my word, this kind of offer is a mere invitation to treat

  haraka haraka haina baraka
   
 17. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Biashara ya madawa ya kulevya
   
 18. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu riba (interest) ni kile kiasi ambacho mtu analipa kutokana na mkopo wa assest ya mkopeshaji. Mara nyingi ni asilimia fulani ya pesa ulizokopa whether you make profit or loss.

  Lakini according na hii contract ni kwamba jamaa atatoa 15% ya profit aliyopata (profit = faida), kwahiyo jamaa akipata hasara ni kwamba hatalipa chochote bali atarudisha pesa ya mkopeshaji (this is a kind of Joint Venture) Mkopeshwaji anatumia nguvu zake na akili yake na mkopeshaji anatoa mtaji ambapo atapata 15% ya mapato wakati mkopeshwaji atabaki na 85% (yaani watagawana faida)
   
 19. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hapo pekundu.unataka hadi aandike riba ya 15% no ujue ni riba??
  sasa ulikopaje hela bila kujua utafanyia nini??
  me na doubt huo uwezo wa huyo jamaa kukopesha!!
   
 20. D

  Dina JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Hela nnaitaka, lakini kurudisha ndani ya miezi mi2 jamani, khaaa! Una hakika ikipita miezi hiyo mi2 hujarudisha haji na SMG kweli? Manake biashara ya halali ya kurudisha bil 1 ndani ya miezi miwili mmh...
   
Loading...