Nimepata sababu ya kutoacha Pombe...

Nimepata sababu ya kutoacha Pombe...

duh..muhimu hapo lakini wenyewe huko huko ndo wazuri....actually wazee wanakupa 'kamsaidizi' just in case

Hahaha! hapo hommie hujamalizia vizuri........... Yaani just in case mila zinaruhusu........
 
mi nilidhani ma great sinkaz watasome between the lines lol
Heheheheheeh! Ngoja nicheke tena hahahahahaha!

Idumu bia, vidumu viwanda vya bia, wadumu makaunta wa baa, wadumu mameneja wa baa, wadumu waheshimiwa sana wahudumu wa baa!!!!
 
naomba mni-coach na mimi niwe mwanachama jameni
 
aaaah Pako atanianzisha na dozi kubwa kubwa........nataka trainer atakayenipeleka tartiiiiiiibu mpaka ni-qualify
 
Mamushka angalia watu wanaojali maslahi yako...


The Following 2 Users Say Thank You to bht For This Useful Post:

Asprin (Today), Kaizer (Today)​

eeeeh yule muovu hapo si ndo furaha yake, nimeongeza idadi ivooooooooooo!!!
 
aaaah Pako atanianzisha na dozi kubwa kubwa........nataka trainer atakayenipeleka tartiiiiiiibu mpaka ni-qualify
Trainer siyo...............? Msome huyu

18For John came neither eating nor drinking, and they say, 'He has a demon.' 19The Son of Man came eating and drinking, and they say, 'Here is a glutton and a drunkard,
 
Pole!
hapo awali msimamo wangu ulikuwa kwamba nitaacha pombe endapo tu:

1. Nimeshauriwa na daktari kwa manufaa ya afya yangu.
2: Nimeishiwa kiasi kwamba kununua bia unakuwa mzigo mkubwa

nilishawishiwa na baadhi ya watumishi wa mungu kuwa niache pombe, kwa kuwa eti pombe ni dhambi (imagine, eti bia ni dhambi?). Aisee walikaribia kufanikiwa mpaka nilipokutana na neno hili takatifu toka katika kitabu kitakatifu cha mungu. Hapa aliandika mtakatifu matayo katika sura ya 11 ya injili yake:
16"to what can i compare this generation? They are like children sitting in the marketplaces and calling out to others: 17" 'we played the flute for you, and you did not dance; we sang a dirge and you did not mourn.' 18for john came neither eating nor drinking, and they say, 'he has a demon.' 19the son of man came eating and drinking, and they say, 'here is a glutton and a drunkard, a friend of tax collectors and "sinners." ' but wisdom is proved right by her actions."

hilo ndilo neno la mungu!

Leo ntakunywa bia kwa raha sana.

Ahsanteni na wikiendi njema!!!!
 
Heheheheheeh! Ngoja nicheke tena hahahahahaha!

Idumu bia, vidumu viwanda vya bia, wadumu makaunta wa baa, wadumu mameneja wa baa, wadumu waheshimiwa sana wahudumu wa baa!!!!
adumu marygold m-u-n-i-s-i!:fish2:
 
duh..muhimu hapo lakini wenyewe huko huko ndo wazuri....actually wazee wanakupa 'kamsaidizi' just in case
hohoooo, ngoja waje wenyewe!!!! Wakali hao kama nini

Things to pack:
sweta
Pombe
Mswaki
Pombe
Trousers
Pombe
SHirts
Pombe
SHoes
Pombe
Computer
Pombe
Pombe
Pombe
Pombe
HEDEX

Done....
 
Back
Top Bottom