Nimepata sababu ya kutoacha Pombe...

Nimepata sababu ya kutoacha Pombe...

Beer tamu kuliko starehe zote? **x tamu hasa kipindi cha baridi
 
Nahitimisha mjadala wa Bia
Hongereni mnaokunywa Bier
 
ok ok ok.......... hakuna sababu ya kuacha pombe
 
Kunyweni pombeeee mneemeke si DHAMBI usitende dhambi kwa kisingizio cha pombeeee
 
Hapo awali msimamo wangu ulikuwa kwamba nitaacha pombe endapo tu:

1. Nimeshauriwa na daktari kwa manufaa ya afya yangu.
2: Nimeishiwa kiasi kwamba kununua bia unakuwa mzigo mkubwa

Nilishawishiwa na baadhi ya watumishi wa Mungu kuwa niache pombe, kwa kuwa eti pombe ni dhambi (imagine, eti bia ni dhambi?). Aisee walikaribia kufanikiwa mpaka nilipokutana na Neno Hili Takatifu toka katika kitabu Kitakatifu Cha Mungu. Hapa aliandika Mtakatifu Matayo katika Sura ya 11 ya Injili yake:
16"To what can I compare this generation? They are like children sitting in the marketplaces and calling out to others: 17" 'We played the flute for you, and you did not dance; we sang a dirge and you did not mourn.' 18For John came neither eating nor drinking, and they say, 'He has a demon.' 19The Son of Man came eating and drinking, and they say, 'Here is a glutton and a drunkard, a friend of tax collectors and "sinners." ' But wisdom is proved right by her actions."

HILO NDILO NENO LA MUNGU!

Leo ntakunywa bia kwa raha sana.

Ahsanteni na wikiendi njema!!!!

Kunywa pombe si dhambi according to what I know and I do beliave it sema kibaya ni matendo yatokanayo na ulevi wako kama ulevi utakuzidi.
Also divai/mvinyo utumikao kanisani una kilevi pia.
 
Back
Top Bottom