Nimepata sababu ya kutoacha Pombe...

Binafsi nilifikiria sana maamuzi ya kuacha pombe.....!

LAKINI KATIKA PILIKA PILIKA ZA MAISHA nilikutana na ''mchungaji''!huyu mpakwa mafuta ana kanisa lake BOKO....!

huyu bwana mkubwa tunamuita ''MZEE WA BONETI''....

alinishawishi sana kuendelea kunywa ''kwa namna alivyokuwa akiuendesha uchungaji wake''....

nipo zero pabu hapa tegeta nakunywa valuu na mchungaji EIKEIEI MZEE WA BONETI
 
Beer ni Muhimu kuliko hata wanawake sababu

  1. Ukienda bar unauhakika kupata beer bila hata kubembeleza
  2. Ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukii
  3. Unapoagiza bia unauhakika wewe ndiye wa kwanza kuifungua (huwa bikra)
  4. Unaweza shirikiana na mwenzako bila wivu
  5. Ukinywa bia hata ukojoe mara ngapi hamu haiishi
  6. Bia ni siku zote za mwezi huwa haiendi mwezini wala nyotani, na wala haina siku zake za mood
Pombeka week end hii
 
Hivi wale jamaa wa Alshabab wa somalia - waasi wa serikali ya Somalia (kama ipo) nao wanakunywa sana pombe eehh!! au maasi unayongelea ni asprin kumuona Eliza mzuri baada ya bia ya saba na valuu mbili?

Mkuu umetokea wapi tena hii ni dalili kwamba umemaliza vimeo. Na hii kusoma between the lines ndiyo kunasababisha Extremism na watu wanakufa kama hivyo. Wapi leo nikutwange ka valuu ka thanks kwa kuniokoa juzi
 
Beer ni Muhimu kuliko hata wanawake sababu

  1. Ukienda bar unauhakika kupata beer bila hata kubembeleza
  2. Ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukuii
  3. Unapoagiza bia unauhakika wewe ndiye wa kwanza kuifungua (huwa bikra)
  4. Unaweza shirikiana na mwenzako bila wivu
  5. Ukinya bia hata ukojoe mara ngapi hamu haiishi
  6. Bia ni siku zote za mwezi huwa haiendi mwezini wala nyotani, na wala haina siku zake za mood

Pombeka week end hii
HA HA HA!
biaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!aah
biaaaaaa weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Binafsi nilifikiria sana maamuzi ya kuacha pombe.....!

LAKINI KATIKA PILIKA PILIKA ZA MAISHA nilikutana na ''mchungaji''!huyu mpakwa mafuta ana kanisa lake BOKO....!

huyu bwana mkubwa tunamuita ''MZEE WA BONETI''....

alinishawishi sana kuendelea kunywa ''kwa namna alivyokuwa akiuendesha uchungaji wake''....

nipo zero pabu hapa tegeta nakunywa valuu na mchungaji EIKEIEI MZEE WA BONETI

Hahahahaha! Ili mradi usichafue gari............
 
Asprin, uwezo wa Mungu ni mkubwa sana na wa ajabu... endelea kunywa mwanangu, lakini siku ukikutana na Yesu, hutatamani tena pombe....
Nikikutana naye si ntakuwa nilisha resti in piis? Nashukuru kwa ruhusa yako askofu. Sasa naweza kukutafuta leo tupige mbili tatu?
 
Hapa ndani mbona kuna baadhi ya watu akili zao zinafanana
akitype - Asprin unaweza kudhani ni Teamo ,RR,Masanilo,kimey ,fixed Point au bigirita
 
Hii baibo yangu yasema hivi:

Prv:31:5-7:
‘And lest they drink and forget judgments, and pervert the cause of the children of the poor. 6 Give strong drink to them that are sad; and wine to them that are grieved in mind: Let them drink, and forget their want, and remember their sorrow no more."

My take: as long as i remain poor, am eligible to take wine!
 
Pombe sio HARAMU BALI WATUMIAJI/WATU NDIO HARAMU. Jesus was not stupid to make his first and sound miracle through Alcohol
 
Beer ni Muhimu kuliko hata wanawake sababu

  1. Ukienda bar unauhakika kupata beer bila hata kubembeleza
  2. Ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukuii
  3. Unapoagiza bia unauhakika wewe ndiye wa kwanza kuifungua (huwa bikra)
  4. Unaweza shirikiana na mwenzako bila wivu
  5. Ukinya bia hata ukojoe mara ngapi hamu haiishi
  6. Bia ni siku zote za mwezi huwa haiendi mwezini wala nyotani, na wala haina siku zake za mood
Pombeka week end hii

Uko bar nini kiongozi huoni key words no key board I mean.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom