Nimepata msiba.

Nimepata msiba.

YNNAH

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,702
Reaction score
972
Habari zenu wapendwa, nasikitika kuwataarifu kuwa nimepata msiba wa mama yangu mkubwa. Amefariki jana jioni na tunatarajia kuzika leo saa kumi Muheza Tanga. Innalillah wainna illaih rajiuun
 
Pole sana YNNAH ,yeye katangulia sisi tunafuatia. MUNGU awape faraja
 
Last edited by a moderator:
Pole mkuu. RIP mama mkubwa
 
Pole sana YNNAH
Inallilahi wa inallilah rajiun!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mpendwa kwa msiba ulowapata...Mungu awape faraja.
 
Mwenyenzi MUNGU mwenye uweza kwa yote ampe pumziko la milele katika shamba lake Mama yetu Mkubwa!

Amen!
 
Habari zenu wapendwa, nasikitika kuwataarifu kuwa nimepata msiba wa mama yangu mkubwa. Amefariki jana jioni na tunatarajia kuzika leo saa kumi Muheza Tanga. Innalillah wainna illaih rajiuun

pole ndugu kwa msiba, muheza maeneo gani?
 
Pole sana YNNAH,MUNGU awatie nguvu katika jina la Yesu.
 
Last edited by a moderator:
Pole ndugu, nimerudi jana tu kutoka tanga
 
Pole sana YNNAH
Alazwe mahali pema mama mkubwa
 
Last edited by a moderator:
Pumzika kwa Amani Mamkubwa Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe,, amen
 
Poleni sana.mwenyezi Mumgu awape faraja wote
 
Pole mdogo wangu mpendwa YNNAH.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom