Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,337
Tatizo lako wewe hukumwambia kuwa urafiki wenu utakuwa ni wa "kalamu" tu!
Jamani naombeni ushauri, mwenzenu nina boyfriend wangu sasa juzi tu tumeanza mahusiano leo anadai mambo.
Mimi naogopa kuchezewa jamani nikaachwa, kila nikimueleza siko tayari anabaki kuwa msisitizaji nifanyaje.
Mmh!! akiniacha roho itauma sana
mpe tu cz haiishi wala haina meter reader bt kama we ni bikira usimpe cz itaanza kusoma meterJamani naombeni ushauri, mwenzenu nina boyfriend wangu sasa juzi tu tumeanza mahusiano leo anadai mambo.
Mimi naogopa kuchezewa jamani nikaachwa, kila nikimueleza siko tayari anabaki kuwa msisitizaji nifanyaje.
Kama wewe ni bikra mnyime mpaka siku ya ndoa lakini kwa kuwa siyo bikra sioni mantiki ya wewe kutokumpa gem mwenzio
Jamani naombeni ushauri, mwenzenu nina boyfriend wangu sasa juzi tu tumeanza mahusiano leo anadai mambo.
Mimi naogopa kuchezewa jamani nikaachwa, kila nikimueleza siko tayari anabaki kuwa msisitizaji nifanyaje.
Kwani lazima kwenye mapenz msex jamani
mtu anakusalandisha mwaka mzima na bikira hana!!!
upuuzi huu hatuutaki tena!!!
Nimekupenda bure kwa ushauri uliompa mwenzio