Nimepata mpenzi juzi tu anataka mambo

Nimepata mpenzi juzi tu anataka mambo

Matola, njoo umpe ushauri mdogo wako huku
Jamni naombeni ushauri, mwenzenu nna boyfriend wangu sasa juzi tu tumeanza mahusiano leo anadai mambo, mi naogopa kuchezewa jamani nkaachwa kila nkimueleza siko tayari anabaki kuwa msisitizaji nifanyaje
 
Last edited by a moderator:
wasichana hapo ndo ninapowashishaga!

wee binti inaonyesha jinsi gani huna msimamo mpaka upate mwongozo! kwani hujui nini unataka katika maisha yako? huwezi kumuuliza mtu jambo ambalo unalitaka maishani! you know what you need and you must have VALUES! vitu unavyoviamini kukuongoza katika misha uliyojaliwa na Mwenyezi hapa duniani! lazima pia ujue MIpaka yako! we can not tell you what you need surely!

Ushauri!
mm binafsi namheshimu sana mwanamke mwenye msimamo hasa jambo ambalo linakujengea heshima! you know them! hakuna mtu duniani atakaye kusifia kwa kufanya mapenzi na wapenzi/mpenzi mara nyingi lakn watakusifia na kukuheshim kwa kuwa nadhifu wa kimwili na kiroho! sisi wanaume ni watu wa ajabu sometimes na hasa wale ambao wanakuwa driven na hisia na maoni ya watu waliiowazunguka, Unaweza kumkubalia na akakuacha vile vile na anaweza kukuoa na akaendelea kutoka na watu wengine, vile vile ujue Ndoa ni Tunda la Upendo kama anataka kupima nguo mwambie aende kwa fundi sio kwenye mwili wako kama unatamani kuheshimiwa na kudumu katika ndoa yako kama unataka ndoa!

Usikubali watu wakuchagulie maisha, chagua aina ya maisha mwenyewe kwa kuwa utaishi kwa hisia za watu na zitakutesa maishani! LIVE YOURSELF! respect your values and boundaries!

siamini kama huyo mwanaume just 2wks anataka apime shati! this is pathetic

Ubaya utabaki kuwa ubaya tu hata kama DUNIA NZIMA INAFANYA UBAYA HUO! you know what I mean!

Kila la heri katika mahusiano

Kiresua
 
Jipe muda kwanza wa kumfahamu tabia yake..kabla ya kuchepuka kingono
 
Atleast bado tumebakiwa na watu wachache wenye maadili kama wewe, ubarikiwe.
 
kila mtu ana misimamo na mitazamo yake kuhusu mahusiano ya mapenzi,ngono na umbali gani yuko tayari kwenda kwenye kufanya mahusiano yake yawe bora.wewe yako ni ipi!?

unaamini kwenye ngono baada ya muda mfupi tangu uanze mahusiano?muda ''mrefu'' unaotosha wewe kuruhusu kuwa faragha na mpenz mpya ni upi?mazingira unayo prefer ni yepi?(mi nimewahi ambiwa ''siwezi kwenda lodge!kama huwez nipeleka kwako basi!!'')...wewe kwako ikoje?..mlianza mahusiano mkikusudia ndoa?.imani yako kiroho ikoje?.mwisho wa siku maisha ni ya kwako na mwili ni wako,mahusiano ni ya kwako na kwahiyo MAAMUZI PIA NI YA KWAKO MDOGO WANGU MIMIEDNA!
 
Kwani lazima kwenye mapenz msex jamani

kama sio lazima kusex mbona ikisikia anatembea na mwengine roho inakuuma!!! kitakachokuuma hasa nini ni kuzurura kwao au ukijenga picha walivyogegedana!!!?
 
Jamani naombeni ushauri, mwenzenu nina boyfriend wangu sasa juzi tu tumeanza mahusiano leo anadai mambo.

Mimi naogopa kuchezewa jamani nikaachwa, kila nikimueleza siko tayari anabaki kuwa msisitizaji nifanyaje.

We toa mzigo... tena utoe mpaka apagawe kama alikua na lengo la kupita tuu atanogewaa

kuna dem nilichukua kwa lengo la kupita tuu ila siku ya kwanza tuu alivyonipa nikaacha ata michepuko MWAKA WA TATU nko nae sasaa
 
mpe bana sasa ataamini vipi kama unampenda?mpe mpe tunda
 
Jamani naombeni ushauri, mwenzenu nina boyfriend wangu sasa juzi tu tumeanza mahusiano leo anadai mambo.

Mimi naogopa kuchezewa jamani nikaachwa, kila nikimueleza siko tayari anabaki kuwa msisitizaji nifanyaje.

Afu kati ya kauli za wadada ninazozichukia ni hiyo niliyobold na RED hivi unasemaje mtu anakuchezea wakati kile kitendo wote mnafanya kwa ushirikiano wa hali ya juu... Kawa wadau wengine walivyokupa ushauri kama hautaki kumpa tunda basi endelea kuwa single haina haja ya wewe kuendelea na relationship
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom