Nimepata mpenzi juzi tu anataka mambo

Nimepata mpenzi juzi tu anataka mambo

Hii wiki ya pili kwenye mahusiano

Wk 2 ndo za kuanza kuwa wapenzi rasmi au ni za kujuana kwa mara ya kwanza na kuwa wapenzi? Kama aghalau unamjua kabla ya hapo na rekodi yake iko vipi, sawa, ila kama ndo kwanza mmejuana, itakuwa majanga wewe kumfungulia miguu. Uko mtegoni, ukimpa anaweza kukuona uko mwepesi mno, hivyo utakuwa tu girlfriend ila sio wa kuoa. Ni mtazamo tu, yawezekana ikawa si hivi. Huenda nda mmeo huyo. Fanya maamuzi wewe.
 
Kama wewe ni bikra mnyime mpaka siku ya ndoa lakini kwa kuwa siyo bikra sioni mantiki ya wewe kutokumpa gem mwenzio
 
hicho ndio kilichomfanya akutongoze bibie vua tu hahahaaaaaaa hutaki kuchezewa??? na wao hawataki kuchezewa nowdays
 
Ww ulichokifany ni kama kukubali mahakamani kuwa umeua halafu hutaki kufungwa jela...yan ww umekubali alaf utaki kutoa ppch
 
.....kama hutaki kumpa mbunye basi mpe buku mbili aende kimboka akamalize haja zake hadi pale wewe utakapo amua kumpa....
 
Kwani lazima kwenye mapenz msex jamani

Una miaka mingapi mpaka uogope kutoa papuchi??? Unakuta mnafanya sex chat whatsapp unamtia minyege halafu wazingua kutoa k...!!! Aaah akichepuka unalia!!!! mimiedna
 
Last edited by a moderator:
Jamni naombeni ushauri, mwenzenu nna boyfriend wangu sasa juzi tu tumeanza mahusiano leo anadai mambo, mi naogopa kuchezewa jamani nkaachwa kila nkimueleza siko tayari anabaki kuwa msisitizaji nifanyaje


Hata ubane vipi, akiamua anakula mzigo. Hivi ni wanawake pekee wanachezewa??
 
Kwani lazima kwenye mapenz msex jamani

Una umri gani?

Sasa kuna umuhimu gani wa kuwa na mahusiano?
Hata sijuagi watu wa akili yako mnapataje wanaume ,mtu mwenye ideas km zako Mimi hata mboo haitasimama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom