kila mtu ana misimamo na mitazamo yake kuhusu mahusiano ya mapenzi,ngono na umbali gani yuko tayari kwenda kwenye kufanya mahusiano yake yawe bora.wewe yako ni ipi!?
unaamini kwenye ngono baada ya muda mfupi tangu uanze mahusiano?muda ''mrefu'' unaotosha wewe kuruhusu kuwa faragha na mpenz mpya ni upi?mazingira unayo prefer ni yepi?(mi nimewahi ambiwa ''siwezi kwenda lodge!kama huwez nipeleka kwako basi!!'')...wewe kwako ikoje?..mlianza mahusiano mkikusudia ndoa?.imani yako kiroho ikoje?.mwisho wa siku maisha ni ya kwako na mwili ni wako,mahusiano ni ya kwako na kwahiyo MAAMUZI PIA NI YA KWAKO MDOGO WANGU MIMIEDNA!