Nimepata mpenzi juzi tu anataka mambo

Nimepata mpenzi juzi tu anataka mambo

Jamani naombeni ushauri, mwenzenu nina boyfriend wangu sasa juzi tu tumeanza mahusiano leo anadai mambo.

Mimi naogopa kuchezewa jamani nikaachwa, kila nikimueleza siko tayari anabaki kuwa msisitizaji nifanyaje.

We ni bikira?
 
Kwani ukimpa anaondoka nacho.. Wanawake wabinafsi sana wa mapenzi.. Sijui kwann,,, unamyima boyfrnd alafu unakuta kunafala tu mwingine anakumega
 
we mpe acha vijisababu kwani huyo wa mwanzo ulimnyima
 
Akaduuu akaduuu eti ww mlokole? Au ustadhat?

Skia ww km unamjua in and out mpe lkn mm simo.

Km humjui in and out usimpe kaa nae mbali dhamini maisha yako juzi hapa tumetoka kumziga ndugu ana HIV tena si kicheche so usimpe hakikisha unamjua in and out kisha amuaa.


Sirdirashy
 
Jamani naombeni ushauri, mwenzenu nina boyfriend wangu sasa juzi tu tumeanza mahusiano leo anadai mambo.

Mimi naogopa kuchezewa jamani nikaachwa, kila nikimueleza siko tayari anabaki kuwa msisitizaji nifanyaje.
Kwani wewe ni bikra mrembo?
 
Ni kawaida kwa punda ulompanda kutokutishia mwondoko, so nahisi ulolala nae hukumpa raha bali karaha.
 
achana naye huyo mwambie km anataka akapeleke barua nyumbani ndio humpe mzigo ale huone kama ajakula kona
 
wiki 2 nyingi sana, tena umechelewa kumpa, we mpe tu kwani si mnachezeana wote.
 
alipokutokea ukakubal nafikir ni haki yake ata gar jipya ujaribiwa uthaman wake
 
By the way ilitakiwa mzindue hiyo hiyo juz ulipomkubalia? Siku 3 zote anateseka na ukame na mpnz anaye!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom