Nimepata mpenzi juzi tu anataka mambo

Nimepata mpenzi juzi tu anataka mambo

aah umenkumbushaa dem wangu fulan iv......
oh nataka niwe na we we lakn sex hakuna ksa me me nina wangu yupo nch za nje...kidume nkasema sawa whatever u wish.....
ha ha ha kilcho fuata sasa....alikuwa kila akchat na me me midnights kwenye phn nlikuwa namsugua namsugua kisawa sawa.,..
otea nin kilifuata.....
nilipga game akasema hlo hlo moja lnatosha me me sawa......
hata wk tatu hazja isha kataka tena kudadk...
mwambie kdume chako kijpange
mwanamke halazmishw ku sex.........anawekewa mazngra ya kutaka sex...
nipe namba zako akiendelea kuku lazmisha mwaya we....mimiedna
 
Kwani lazima kwenye mapenz msex jamani

Sio lazima kufanya mapenzi. Lakini je, urafiki wenu umejengwa katika misingi ipi? Hayo ni mambo ya kukaa ninyi wawili na kuyaongea. Kama haipo tayari mwambie, ila kwa vijana wa sasa, ni 1% atakubali...wengi watakykimbia tu...
 
Ni sample maridhawa ya jinsi GTs wa JF tulivyo mkuu, inaenda mbali zaidi kuonyesha jinsi Watanzania tulivyo.

Ukweli mchungu mkuu. Ulichosema ni kweli kabisa.
 
Kwani lazima kwenye mapenz msex jamani

Hahah kwan ni lazma kila mahusiano yafike ndoah zngne unapita tu kama twishen il uje kuwa experience wakat wa ukiwa ndan ya necta ya ndoa
 
hicho ndio kilichomfanya akutongoze bibie vua tu hahahaaaaaaa hutaki kuchezewa??? na wao hawataki kuchezewa nowdays

mtu anakusalandisha mwaka mzima na bikira hana!!!
upuuzi huu hatuutaki tena!!!
 
Yes! Ni lazima kusex. Kwan ni kaka yako huyo. Acha akutafune bhana. Wote si mtapata utamu kunoga lakini?

yan siamin nyinyi ndo wakwanza kumchuza mdada wa watu loh,badae oh wadada warahisi kweli...naona asilimia tisini na tisa mnamchuza tu.Mwisho wa siku dada uwe na msimamo mwenyewe na utumie akili yako ni hayo tu
 
Jamni naombeni ushauri, mwenzenu nna boyfriend wangu sasa juzi tu tumeanza mahusiano leo anadai mambo, mi naogopa kuchezewa jamani nkaachwa kila nkimueleza siko tayari anabaki kuwa msisitizaji nifanyaje
Kuwa na boyfriend ni 50% ya kuwa na mume...

Majukumu mengine kama kutoa tendo la ndoa hupewa nafasi sana katika mahusiano kwa kizazi cha leo..
 
Kama unaogopa kuchezewa baki single, kwani wakwanza kwako Huyo????? Afu unapoanza mahusiano usiwaze ndoa au ndo mumeo hiyo hutokeaga tu.
 
vaa kilemba, kaishi konventini uwe "sista maria"
usituchoshe wakati unamkubali ulidhan anataka nini!!!
 
Jamni naombeni ushauri, mwenzenu nna boyfriend wangu sasa juzi tu tumeanza mahusiano leo anadai mambo, mi naogopa kuchezewa jamani nkaachwa kila nkimueleza siko tayari anabaki kuwa msisitizaji nifanyaje

kumbe wewe mlaini hivyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom