Ulifanyaje Ulipogundua Mpenzi Wako Amekusaliti?

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,706
Reaction score
19,649
Wakuu,mpenzi wangu alikuwa ananisaliti,nilipogundua tu ilibidi "nimchane live" nimwambie ukweli na kuanzia siku hiyo mapenzi kwake yalikwisha taratibu mpaka kupotezeana,akituma sms sijibu nk. Vipi wewe ulipogundua anakusaliti ulifanya nini?
 
Muite mpenzi wako karibu yako

ongea naye kwa maneno yenye upendo na huruma

Mshike shingo vizur huku ukimsogeza vizur karibu na uso wako

Macho yako yawe yanamwangalia kwa upendo

Ukikaribia shavu lake Mng’ate kwa nguvu yaan kwa nguvu mpaka apige kelele

Hakikisha usitoke na nyama ila umemuachia alama mshenzi huyo
 
We ni muuaji🤣
 
Daaah
 
😁😁😁😁naaam
 
Yaani mimi harmful tutapigana tuuane humo ndani🙆🏽‍♀️
Sasa kama wewe si nakushika mikono yote Miwili na mkono wangu wa kushoto halaf wa kulia naanza kukuchapia kama mtoto 😅
 
Back
Top Bottom