Nimepata Mpenzi ila mh..! Ushauri wenu wakuu

Nimepata Mpenzi ila mh..! Ushauri wenu wakuu

sijatembea nae
Maswali mengine yakipuuz sasa mtu unamuuliza katembea nae au hajatembea nae huo ni ushauri naukijua ikusaidie nn mpeni mtu mswazo mazuri suala lakutembea au kutembea ni privancy ya mtu haina ulazima sana kuyajua
 
Maisha ni kusaidiana... Kama kweli anahitaji msaada wako msaidie... Kama ni tapeli utamjua tu.. Anza na pesa ndogo... Kama kaomba umkopeshe laki2... Mpime imani na na elfu50... Atakavyo react ndiyo utapata jibu...

Don't judge someone very soon..



Cc: mahondaw
 
ni taperi huyo.Anatumia moyo wa mtu kuchuna.Keshajua unapapara ya kutaka kuolewa.Tumejuta sana wenzio.....ACHA KABISA
 
Maisha ni kusaidiana... Kama kweli anahitaji msaada wako msaidie... Kama ni tapeli utamjua tu.. Anza na pesa ndogo... Kama kaomba umkopeshe laki2... Mpime imani na na elfu50... Atakavyo react ndiyo utapata jibu...

Don't judge someone very soon..



Cc: mahondaw


Mhmmhmhmhmhmhmhmhmhmhmhmhmh 50!!!! I like that..

Anyway Smart911 baby tusipokuwa waaminifu kwa mambo madogo hata makubwa hatutayaweza
 
Hata hivyo ni ngumu kusema kuwa umempa,
Pia kwa uzoefu mdogo niliyonawo wanawake wengi wenu huwa rahisi sana kuingia katika mausiano kirahisi mkiwa na stress.
K kampa sema hawezi sema hadharani

Binadamu wanafiki sana...
 
Huyu Mke ni mwema sana.. Jaribuni kumshauri vizuri....

Unayo shida ya mume kwakua u mpweke mda mrefu.... Hii hoja sio nzuri haitakusaidia kupata mume mwema,.. Ndio iliyokutambulisha kuwa wewe umekua dhaifu na uko nyang'anyang'a kwake..... Tambua kwamba baadhi ya wapenzi wengi hawawezi kulipa upendo palipo na upendo bali hujengeka kiburi....

Anza kumpelekea majukumu apaswayo akufanyie kumkumbusha majukumu yake Kama mwanaume, ili uanze kupima uwajibikaji wake akiwa baba wa familia......

Kumjengea tabia ya kumpa pesa na kumdekeza ni kujizika mwenyewe ktk kumpata mume bora wa familia... Kwani mwanaume anayejitambua, hufurahia Maisha yake katika kupambana na kuipigania familia yake pale inapokabiliana na tatizo ktk familia, na Mimi faraja anapokuwa mshindi...

Uchumba wenu ni wa mda mfupi mno,.. Hayo ni machache mno uliyoyafahamu kwake.. Mko bado mbali mbali....
Mwanamke haombagi kuolewa, ni kosa kubwa kumshawishi mume akuoe... Huna haraka kuhusu jambo la ndoa.... Leo unayo nafasi ya kuamua na bado hauna kizuizi, lakini mambo haya yakishakukuta kwenye ndoa hauna pa kuchomokea....

Mwisho; Naomba uendelee kubaki ulivyo,. Mume wako yu njiani, utadeka na utadekezwa... Huyo mume atakuendesha tu.
Mkuu uko deep sana

Kudos[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Swala ni je? Wewe umeshakula pesa zake ngapi? Yawezekana ndio anacompaset mahesabu
 
Kwanini yeye asikope kwa hao watu wengune!!! Ana masikhara kweli huyo mtu wako... Anatafuta wa kumchuna shosti!!! Hamna ndoa hapo, ata ikiwepo utaumia tu!
 
Tehtehteh kwani hata najua sasa Nimejikuta nashangaa tutuu hio amount ulosagest hapo eti kuanza na kuanza tu misimbazi mitano heheheee im interested. Smart911 love ni wachache sana..
Najua unachowaza mahondaw... Imani inapimwa kwenye small amount love... Kama mtu hatoridhika ma kidogo hata kikubwa hatokiweza...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom