Nimepata Mpenzi ila mh..! Ushauri wenu wakuu

Nimepata Mpenzi ila mh..! Ushauri wenu wakuu

Mapnz bwana pima mwenyew uone [emoji3][emoji3][emoji1492][emoji1492][emoji1492]njoo
Njoo pm mm niko freshi tuu nikupe aman ya moyo [emoji7]
 
Hata humu wamo wanaojifanya kumshauri aachane na huyo mpenziwe si kwania njema, ni kwasababu wengine wameona fursa (upweke wa huyu mleta mada) japo sio wote. Ila cha muhimu tumshauri vema ili baadae linapotokea jambo sababu ya ushauri wetu tuwe na namna ya kumsaidia
 
Ukitaka kumuua nyani usimtazame usoni kama una moyo wa kutojari hebu mpime mpe iyo laki mbili then na ww ukikaa kaa kidogo mkopo laki tano mwambie kodi imeisha afu huna pesa asipokupa piga chini suruali zipo nyingi ila za kiume ni chache
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]akina dada mna kazi huyo ni marioooo huenda hata kazi hana
 
Ukitaka kumuua nyani usimtazame usoni kama una moyo wa kutojari hebu mpime mpe iyo laki mbili then na ww ukikaa kaa kidogo mkopo laki tano mwambie kodi imeisha afu huna pesa asipokupa piga chini suruali zipo nyingi ila za kiume ni chache
hapana aisee usawa huu wa magu kumpa mtu 200k ambayo hauna uhakika kama itarudi n ngumu ujue. halafu kilichonishtua hazjapita hata wiki mbili toka aliponiomba hiyo hela ya kiwanja
 
Nina mashaka na hiyo kazi aliyokwambia pengine hana kazi kabisa, kama anayo ndio hiyo ya utapeli.

Sifa mojawapo ya matapeli ni uongo wa kutumia akili, kwanza anakujenga umuamini, mfano hajakupa haki yako msingi kisa mpaka atoe mahari. Mahari atatoa wapi kila mara anakuomba ela.

Yani mwanamme amesafir mkoa mwingine halafu hajakuaga vizuri mpenzi wake. Kuna walakini hapo.
 
Na alitumia ujanja wa kutokudo mpaka atakapotoa mahari. Uzuri nimemshtukia mapema
 
Rudisha hio Mbuzi bandani!!!!!!

Chagua mbusi ingine dada, Wanaume wamejaa Tafuta mwanaume aliestaarabika, Muombe Mungu akuletee mwanaume mwema,hata kama sio mume mwema,awe mwanaume mwema tu,kuliko hio Mbuzi Ngoja upate bwana anaeleweka.

Narudia tena; Rudisha hio Mbuzi bandani

haaaahaaaa mbn unawatafutia matatizo wengine mwabue aipeleke kabisa machinjioni isibaki kabisa Machoni kwa wengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom