[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwakweli ameoa.
50 siyo hela mahondaw wangu... Alafu pia depends with your life style... Like Smart911 to mahondaw 50 its just like a peanut... How many surprises have made for you zikifuatana...You know what nashangaa Smart911 love eti 50 you call it a small amount na awamu hii ya mtu kukupa kumi tu kasheshe hahaha I'm more interested ..heheheee
Pole sana my! Cwez mpa hata miaHuyo ni kama niliempata mimi tena bora wako ana kazi ya maana mimi wangu alikuwa kinyozi saloon lkn mimi sikuona hatari kumpa pesa alipokuwa ananiomba coz naamini mtu ukimpenda hata hujiulizi mara mbili unampa tu coz nilimpenda kutoka moyoni, lkn nilikuwa nampa kwa staili ya kumkopesha ili asijisahau sana, lkn alikuja kunikwaza kwa kutokuwa mwaminifu. So nakushauri usimpe atakuja kutenda hadi moyo ukutoke
Yaani wewe umuazimie kwa mtu yeye hana hao watu wa kuazima anaishi na wanyama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume bhana. Tapel huyonimemwambia sina, akadai eti nijaribu kumuazimia kwa mtu.
Shoga ndivyo walivyo huwa hawafananii na utapeli...nilikua nackiaga tu juu juu safari hii nimejionea mwenyewe, halafu ukiona hata haendani aisee.
Weee kule anakofanya Kazi unakujua?Aliniambia n mwalimu
Mi kuna lijamaa limoja liliniingia na gia hiyo hiyo ya kuoa...akaniambia ooh mi na nafanya kazi kituo kimoja cha TVNina mashaka na hiyo kazi aliyokwambia pengine hana kazi kabisa, kama anayo ndio hiyo ya utapeli.
Sifa mojawapo ya matapeli ni uongo wa kutumia akili, kwanza anakujenga umuamini, mfano hajakupa haki yako msingi kisa mpaka atoe mahari. Mahari atatoa wapi kila mara anakuomba ela.
Yani mwanamme amesafir mkoa mwingine halafu hajakuaga vizuri mpenzi wake. Kuna walakini hapo.