Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,739
- 5,979
Hahahaaaa... Kaboom! &@$#??Nahisi utakuwa umepata ushauri wa kutosha..Huyo jamaa ni wa kuachana nae..Labda now tudiscuss huo upweke wako
Adiscuss kuhusu upweke wake!.. Daaah!
Hahahaaaa... Kaboom! &@$#??Nahisi utakuwa umepata ushauri wa kutosha..Huyo jamaa ni wa kuachana nae..Labda now tudiscuss huo upweke wako
Yeah mkuu..Hapo naweza kutoa msaadaHahahaaaa... Kaboom! &@$#??
Adiscuss kuhusu upweke wake!.. Daaah!
Sama mkuu..Embu andika jina langu halafu lipeleke kwenye maombi..ni kwel ishu n kumuacha tu na c vinginevyo.. kuhusu upweke ntajitahidi kutumia mbinu nilizotumia kipindi nimeachana na ex wng mpaka pale ntakapopata chaguo langu
sawa my! acha niwe mpoleeeeachana nae mwanaume atakusumbua huyo hata ndoani kama mapema hivi kipyenga kimelia jee akishakubanjua vya kutosha uwiiiii atakua haachi hata mia .si akope mwenyewe kama ana uhakika wa kulipa .atakuja wako mama ucpanic kwa vile hujaolewa na x wako subiri kwanza
Sa si ndio mnajipanga au? Ujue mumeo mtarajiwa kaona mbali sana, kwahiyo wewe mpe tu.ha ha ha ha ha ha! hata kama aisee, jamaa kaua kbsaaa bora hata angeanza kidogo kidogo, yaani kabisa nimpe hela anunue kiwanja fyuuuuuuuu