Nimepata Mpenzi ila mh..! Ushauri wenu wakuu

Nimepata Mpenzi ila mh..! Ushauri wenu wakuu

Shoga ndivyo walivyo huwa hawafananii na utapeli...

Mi yalishawahi nikuta ndio maana hapa nasoma kisa chako mbavuu sinaa..

Bora we umeshtuka mapema kuna wengine washachunwa vya kutosha ndo wanashtukaa[emoji23] [emoji23]

Kiufupi mjibu kuwa peleka utapeli wako na nimekwishakushtukia mpango wako kwangu..atajionea aibuu tu kwa mbinu zake kushtukiwa
Ha ha ha ha ha! Pole sana my dia.
 
Weee kule anakofanya Kazi unakujua?

Ukianza uhusiano na mwanaume ambaye humjui jitahidi sana kutafuta information zake hii itakusaidia kumjua mlengwa kabla mambo mazito hayajakukuta...
Sawa mkuu! Hili limekua somo kubwa sana kwangu,
 
Mi kuna lijamaa limoja liliniingia na gia hiyo hiyo ya kuoa...akaniambia ooh mi na nafanya kazi kituo kimoja cha TV

Nilimtumia ma CIA kama 20 hivi kumchunguza kupewa data zake kumbe ni Muuza viatu maarufu eneo hilo ( machinga)[emoji23] [emoji23] [emoji23] na bado ni ana maskendo ya kufa mtuu..

Alishangaa siku hiyo nampa lifile lake chafu chafu hata kuoa alighairi[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ha ha ha ha! Huyo ulimuweza cpati picha aibu aliyoipta baada ya kugundua umeujua ushenzi wake
 
Rudisha hio Mbuzi bandani!!!!!!

Chagua mbusi ingine dada, Wanaume wamejaa Tafuta mwanaume aliestaarabika, Muombe Mungu akuletee mwanaume mwema,hata kama sio mume mwema,awe mwanaume mwema tu,kuliko hio Mbuzi Ngoja upate bwana anaeleweka.

Narudia tena; Rudisha hio Mbuzi bandani
Hiyo ya kukamua masiwa tu..haifai kwa nyama ya mama yeyoooo...
 
Maswali mengine yakipuuz sasa mtu unamuuliza katembea nae au hajatembea nae huo ni ushauri naukijua ikusaidie nn mpeni mtu mswazo mazuri suala lakutembea au kutembea ni privancy ya mtu haina ulazima sana kuyajua
Privancy = privacy
 
Baada ya kupona maumivu ya kuachana na mpenzi ambaye nilitegemea atakua mume wangu, Mungu si athumani nikakutana na kaka mmoja ambae tulijikuta tunaanzisha mahusiano. Kaka huyu anafanya kazi Mkoa mwingine, ila huku nilipo mimi ndio kwao. kipindi nilipokutana nae alikua kaja likizo hivyo baada ya likizo yake kuisha tuliagana vizuri na mawasiliano yaliendelea vizuri tu, akiniahidi mwezi wa tisa ataleta barua ya uchumba nyumbani, na Mungu akipenda basi mwakani tutafunga ndoa.

Wiki mbili baada ya kuondoka, kuna siku alinitumia sms kwamba kuna kiwanja kinauzwa huko anapoishi, nimkopeshe kiasi fulani cha pesa ili akinunue, nilishtuka maana hatuna zaidi ya miezi mitatu toka tumeanza mahusiano. Sikumjibu vibaya nilimwambia kwa sasa sina pesa akakubali kwa shingo upande. Mawasiliano yakaendelea japo sio kivilee kama mwanzoni,

Leo tena nimepokea sms akidai ana shida na laki mbili, hata kama sina basi nijitahidi hata nimkopee kwa mtu atarudisha mwisho wa mwezi huu. Ni kweli nilishaanza kumpenda, ukizingatia nimekua mpweke kwa muda mrefu. Ushauri wenu wakuu huyu kweli ana mapenzi na mimi au anataka kunitapeli then asepe????
Upo Uwezekano Akawa na Shida Kweli Ila Kuwa Makini Maana Wanaume Makini huwa hatuna tabia ya kuomba omba pesa kwa wanawake - be careful maana wapo pia matapeli wa kimapenzi. Ila Kama wampenda mhudumie tu....
 
Baada ya kupona maumivu ya kuachana na mpenzi ambaye nilitegemea atakua mume wangu, Mungu si athumani nikakutana na kaka mmoja ambae tulijikuta tunaanzisha mahusiano. Kaka huyu anafanya kazi Mkoa mwingine, ila huku nilipo mimi ndio kwao. kipindi nilipokutana nae alikua kaja likizo hivyo baada ya likizo yake kuisha tuliagana vizuri na mawasiliano yaliendelea vizuri tu, akiniahidi mwezi wa tisa ataleta barua ya uchumba nyumbani, na Mungu akipenda basi mwakani tutafunga ndoa.

Wiki mbili baada ya kuondoka, kuna siku alinitumia sms kwamba kuna kiwanja kinauzwa huko anapoishi, nimkopeshe kiasi fulani cha pesa ili akinunue, nilishtuka maana hatuna zaidi ya miezi mitatu toka tumeanza mahusiano. Sikumjibu vibaya nilimwambia kwa sasa sina pesa akakubali kwa shingo upande. Mawasiliano yakaendelea japo sio kivilee kama mwanzoni,

Leo tena nimepokea sms akidai ana shida na laki mbili, hata kama sina basi nijitahidi hata nimkopee kwa mtu atarudisha mwisho wa mwezi huu. Ni kweli nilishaanza kumpenda, ukizingatia nimekua mpweke kwa muda mrefu. Ushauri wenu wakuu huyu kweli ana mapenzi na mimi au anataka kunitapeli then asepe????
Aiseeh jamaa anacheza na alama za nyakati 'eti anataka kuleta barua ya uchumba nyumbani ' yaan huyo Kaka kanifurahisha, bidada mkimbie huyo kijana kwa nguvu zote kashajua udhaifu wako sasa anataka akutumie vzr kwa kigezo cha kujifanya anataka kuwa mume mtarajiwa.
 
50 siyo hela mahondaw wangu... Alafu pia depends with your life style... Like Smart911 to mahondaw 50 its just like a peanut... How many surprises have made for you zikifuatana...
mahondaw wangu... I can say when it comes about you kwangu hiyo its nothing...

So many kwakweli can't even count ..

And I'm do grateful kwakweli this bae of mine yuko kunifanyia sapriz mpaka dahhhhhhhhhhh I feel blessed having Smart911 my king na ulimwengu mzima ujueee tu hakuna namna.
 
Rudisha hio Mbuzi bandani!!!!!!

Chagua mbusi ingine dada, Wanaume wamejaa Tafuta mwanaume aliestaarabika, Muombe Mungu akuletee mwanaume mwema,hata kama sio mume mwema,awe mwanaume mwema tu,kuliko hio Mbuzi Ngoja upate bwana anaeleweka.

Narudia tena; Rudisha hio Mbuzi bandani
watu mpo na misemo ya hatari sana sasa iyo mbuzi itakua ya nyama au ya maziwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom