Nimepata mpenzi humu jukwaani

Nimepata mpenzi humu jukwaani

Nipo home nacheck movie ya avatar
Ila usisahau leo pia kutafuta pesa. Weekend hii mkuu. Kesho saa 6 mchana utakuta tag zangu, mwenyezi mungu akutangulie usipate mahogo au wa vumbi la kongo. Bye for now
1561211104360.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahaha jaman kaka Jana tu nimeingia dar napumzka uchovu wa safar
Huna nyege leo hadi upate muda wa kuangalia movie badala ya kusaka mb[emoji87][emoji87]?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sawa ila hujaleta mrejesho kama ulifanikiwa au la. Nadhani labda ni kwa kuwa ulikuwa safarini. Enjoy maraha raha ya Dar na usisahau kupita kule coco beach ukapate upepo wa pwani na kuogelea. Dar si kama Dom ina maraha ya kila sina 😜

Hahaha jaman kaka Jana tu nimeingia dar napumzka uchovu wa safar
 
Siwaelewag watu wanaotafta wapenz hum.kabisaaa yani..
Kama mwanamke basi ni mbovu
Kama mwanaume basi sjui ana tatzo gan,nae atakua mbovu ama domo zege au sjui yan

N.b ubovu haimaanish sura mbaya,tuelewane
Ubovu ni kutokua na hiv
1.usafi
2.u smart
3.mbwembwe
4.chambi kdogo
5.mandhari ya kumeet watu huna hata instagram au fesibuku hutak
kwa hiyo na wewe ni mbovu mkuu
 
Kwenye App naona shida ila nahisi kwa browser ni rahisi
Sawa ila hujaleta mrejesho kama ulifanikiwa au la. Nadhani labda ni kwa kuwa ulikuwa safarini. Enjoy maraha raha ya Dar na usisahau kupita kule coco beach ukapate upepo wa pwani na kuogelea. Dar si kama Dom ina maraha ya kila sina [emoji12]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongera sana, lkn uwe msir katika mambo yako hii ni hatua ya mwanzo kabisa.

Wengi pia wanakutana humu lkn hawaanzishi uzi kama wew.
Hongera mkuu lakini ukiwa umeshafunga ndoa hakikisha usije baadaye kututaka ushauri tumia huu muda kujiridhisha naye.
 
...., lakini mie situmii app ya JF ila kabla sijagundua ilikuwa ni zoezi kubwa sana, sasa hivi in less than a minute nimeshapandisha kitu. Jaribu kufanya huo utundu unaweza kufanikiwa.


Kwenye App naona shida ila nahisi kwa browser ni rahisi
 
Back
Top Bottom