Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,954
- 8,148
Nipe number yake ni msihi hakupende kwa moyo wake wote
Kuna boya ashakamatika huko mkuuHatimae ule uzi wa kufunguliwa duka na kuachwa umepata jibu...
refer this comment![emoji1427]
[https://www.jamiiforums.com/threads...unifungulia-duka.1597595/page-2#post-31894778
Kuna boya ashakamatika huko mkuu
Hongera sana, lkn uwe msir katika mambo yako hii ni hatua ya mwanzo kabisa.
Wengi pia wanakutana humu lkn hawaanzishi uzi kama wew.
Hatukufaham ila unaweza ukampeperusha huyo mtu wako.
Wew uchelew kuja kumuanzishia uzi humu mara ooh wanawake wa jamii hawana maana kumbe ni utoto wako wa kutangazatangaza kila kitu.
HilohiloKanisa gani la kinondoni au tegeta ??
Kwani huyu mzee baba au mzee mamaBest of luck mzee baba
[emoji3] [emoji3] [emoji3] watakuja kiongoziTangu nijiunge na Jf hakuna mdada aliyewahi kuja Pm hata kunisalimia🤔🤔🤔njooni bas hata mnitukane mimi nitaridhika tu[emoji23][emoji23][emoji23]
inabidi mfungue la kwenuNimepata mpenzi humu jukwaani. Tunakwenda taratibu. Amepanda juu hii ndiyo furaha yangu Nina allergy na Andunje.
Ninahisi ninampenda. Katika maongezi nimegundua tunasali kanisa moja.