Nimepata mpenzi humu jukwaani

Nimepata mpenzi humu jukwaani

Anahisi anampenda😂😂😂...Yani hana uhakika maana yake
 
Njemba na warembo walio humu ndiyo hao hao waliopo kitaa. Nimepata bahati ya kufahamiana na wachache humu kwa karibu hivyo naweza kusema kuna wanawake wa maana sana humu na wanajitambua hasa.

Mimi binafsi sioni tatizo lolote lile la Njemba au mrembo kuja humu kutafuta mpenzi na baadhi waliokutana humu wamo kwenye ndoa.

Usiwadharau wanachama wote wa JF.

Siwaelewag watu wanaotafta wapenz hum.kabisaaa yani..
Kama mwanamke basi ni mbovu
Kama mwanaume basi sjui ana tatzo gan,nae atakua mbovu ama domo zege au sjui yan

N.b ubovu haimaanish sura mbaya,tuelewane
Ubovu ni kutokua na hiv
1.usafi
2.u smart
3.mbwembwe
4.chambi kdogo
5.mandhari ya kumeet watu huna hata instagram au fesibuku hutak
 
Nimepata mpenzi humu jukwaani. Tunakwenda taratibu. Amepanda juu hii ndiyo furaha yangu Nina allergy na Andunje.

Ninahisi ninampenda. Katika maongezi nimegundua tunasali kanisa moja.
Nadhani huyo atasaidia jukwaa kuwa tulivu. Uzoefu wangu unaonesha wanawake wa JF kabla ya kupata mwanaume humu, huwa mnasumbua na sredi za uhanga na kumwaga razi. Mkipata mnatulia kama mmehama nchi. Mtano Demiss kabla hajampata mshana hapa kulikuwa fujo tupu. katoto kazuri inaonesha ameachwa. @nakwende ameachwa etc
 
Kila nkitaka kuchangia nashindwa.... Venye najiangalia kimo changu basi bana...
 
Hahahahja aisee siyo kweli ila ukipata bwana Jf unajiheshimu kidogo

Back
Top Bottom