Bas speed yako ya kutafta bwana ni ya 5g.
Dada kwa ushaur tuu,achana na watu wa hum.ukitaka pata bwana wa uhakika si hapa fanya haya nayokwambia utapata bwana
1.kama una penda kutia dawa nywele au maweave acha,nyoa anza kufuga nywele matural ziwe ndefu nzuri safi
2.vaa nguo za heshima, kuwa msafi,nukia,etc
3.kama ni christian,anza kuhudhuria church kama muslim sjui inakuaje hapo
4.ukiskia gatherings zozote za maana nenda,attend hzo
5.kama una account insta au fb,futa picha za zaman weka mpya na u natural wako ,smart .god fearing
6.talk to any1 usichague.tabasamu,usiwe kauzu maana kuna madem makauzu akat hawana mabwana wana masterbate daily
Dada ukifanya haya yote usipopata bwana wa kukuoa BASIIII
Hapa ni sawa na mitandao mingine ya kijanii. Mkielewana mnabadilhana namba na picha.
Mkionana kama hamuelewani mnaachana