Nimepata mgeni wa ajabu sana

Nimepata mgeni wa ajabu sana

hahahaa pombe inataka kumfanya mtu afukuzwe" ajabu nikwamba ungetokea chupa za hizo pombe zingepasuliwa na mtoto wake angekausha tu " wala asingekuja kusema hapa Jf
Watu kama hawa hawatoagi offer huko bar 😆😆😆😆😆
 
Kwa iyo ilo toto sheztype zake lilikuja kusubiria matokeo, tokeo likatoka siku iyo iyo, ukasikia limefeli hapohapo linafoo alafu halikufanya mtihani,likanywa bia zako na wine ya mkeo dah kweli ilo toto linachuki na unafki kama wewe. Yani umeshindwa kuleta mada kabla ya tokeo ukaone ulete baada ya matokeo hizo chuki na roho mbaya sheztype

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada hizi za jamii forum siku hizi, ngoja amkanyage na mkeo ufukuzwe ww ulete mrejesho.
 
Mwambie tu hauiwezi tabia yake.
Yaani mdogo wako unaogopa kumwambia?

[emoji252] [emoji479]
 
Kuweka pombe kwenye jokofu la nyumbani ni kuifundisha familia tabia ya ulevi,si uende bar...by the way ushasema hili ni simulizi la kutunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza wewe ni msanii kama Yule wa GPA ya 32,unasema amepata four ya mwisho afu unadai inasemekana mitihani hakufanya,kama hakufanya mitihani hyo four ya mwisho kaipataje?Unaandika inasemekana baba yake alimlea kwa kumdekeza,mtoto wa ba mdogo wako usiwe na uhakika alilelewa vipi? Any way Kama kaja kutembea mvumilie tu ataondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kidato cha sita unamuita Toto dogo! Wewe fix.
 
Nilichogundua wewe jamaa ni mchoyo alafu mke wako ndio mwenye kauli ndani ya nyumba zaidi yako, sababu kubwa ya kumfukuza huyo dogo ni kunywa pombe zenu.. mama watoto akakuweka kitimoto umfukuze mdogo wako, chukua uamuzi wa kumfukuza maana nyumba ni yako ila kaa ukijua hiyo ni tabia na inazidi kuota mapembe.. kesho utamfukuza na baba ako kwasababu ya mke.
Malipo ni hapahapa duniani, na watoto wako watakuja kufukuzwa siku moja.
Yaani mtoto pampula unamtetea! Sidhani kana ana watoto watovu wa nidhamu kama huyo. Yaani ningemtimua bila kujiuliza!
 
tumia akili,huyo ndio aina ya malezi aliyokulia...nje ya hapo utabeba lawama za kudumu..

Anza ratiba ya kupika ugali daily 24hrs kwa Dagaa wa Mwanza/maharage/mchicha...

halafu asubuhi chai ya mluzi kwa kiporo cha ugali au mihogo

*ataondoka mwenyewe,kwa hiari na kiroho safi 🙁



Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani yeye ndio aliyemlea?
 
Kuna kijana mtoto wa baba mkubwa kaja kunitembelea hapa nyumbani baada ya kumaliza form six wanasubilia selection za chuo ila huyu kafeli maana kapata four ya mwisho.Sasa nilichoudhika ni hili tukio nililolikuta home kwangu.Yaani nimekuta limekunywa Box zima la Heinken zangu na st.Anna za mke wangu ***** zake cha kushangaza sasa toto dogo nimekuta linakula sigara packet nzima tena sebuleni yaani hili toto lina siku moja limeanza kufanya hivi nimekuta sebuleni kumejaa moshi kama jamaika aisee.AISEE HILI TOTO NASIKIA BABA YAKE ALILEA KWA KULIDEKEZA NA KUNA TETESI HATA HUO MTIHANI WA FORM SIX HALIJAFANYA.WAKUBWA HEBU NISAIDIENI MBINU ZA KULITIMUA KWA SABABU NAHISI NIMETEMBELEWA NA PAMPULA NA SIO MGENI TENA.MBAYA ZAIDI HUYU DADA WA KAZI AISEE KANIHADITHIA VITIMBWI VILIVYOKUWA VINATENDWA NA HILI TOTO MPAKA MENGINE AIBU KUYAANDIKA.NIPENI MBINU WAKUU HAPA KWANGU ANA SIKU MBILI NATAKA NIMG'OE HAPA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Boss heinken t roho inakutoka.muache mhuni alumbue wacha kukunja bob.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TBL imehamia kwako boss!
Mtoto wa baba mkubwa ni ndugu yako ujue. Hivyo unaposhindwa kuongea naye wewe kuna tatizo.

Mketishe chini mwambie ukweli.
Ukilichukulia simple yawezakuleta maneno na lawama bin chuki ndani ya familia yenu kwa pande zote.

Tumia akili kulitatua hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la Watanzania tunakuaga na ukarimu wa kinafiki. Mgeni amekuja utaskia karibu jiskie huru kama nyumbani -sasa kama nyumbani ndo anafanya hivo???
Mimi mgeni akija kwangu atapumzika siku ya kwanza, siku ya pili usiku kabla ya kulala ntakaa nae na kumpa maelekezo na utaratibu wa Nyumba YANGU!!!Especially kama ni hawa madogo wanaokuja kutembelea likizo. Mfano :Asbh ukiamka kuna nguo zangu za kazini hapo nipigie pasi, fanya usafi chumba chako, dada akiwa anaosha vyombo wewe msaidie kudeki, hapo nje kuna bustani... ukimaliza shuhuli zako ipalililie, uwanja nje uwe unafagia asbh etc na vitu kama hivyo. Na ninaweka clear hatuna utaratibu wa kuangalia TV mchana ila UKIMALIZA shuhuli zako unaweza angalia ....Ni muhimu pia kuweka utaratibu wa chakula maana unaweza muachia house girl dagaa na mboga ya majani mgeni akamwambia mi kama kuna nyama nipikie nipikie sili dagaa [emoji30][emoji30] wakati kwako unaishi kwa utaratibu na budget zako.
Na mgeni usipompa your house rules usitegemee housegirl atamwambia "usifanye hivyo" wewe ndo mwenye nyumba na ndio mwenye mgeni state your house rules!!!
Sasa inawezekana ndugu wewe hayo huku fanya. Mgeni akiamka mapema unamuuliza "Mbona umeamka mapema jamani (huku unacheka kinafki),akilala mpk saa nne unalalamika mvivu.
Inawezekana day one ulimkaribisha hizo pombe ukamwambia kunywa tu jiskie huru -sasa anajiskia huru unalalamika.
Mimi nshaishi na madogo wa hivo tena wengine ndugu wa side 2...Same rules apply. Sitaki mtu mvivu wala tabia za hovyo kwangu. Ukiona huwezi utaondoka tu mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa iyo ilo toto sheztype zake lilikuja kusubiria matokeo, tokeo likatoka siku iyo iyo, ukasikia limefeli hapohapo linafoo alafu halikufanya mtihani,likanywa bia zako na wine ya mkeo dah kweli ilo toto linachuki na unafki kama wewe. Yani umeshindwa kuleta mada kabla ya tokeo ukaone ulete baada ya matokeo hizo chuki na roho mbaya sheztype

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena kama ni mdogo wako, usimuonee haya na kuja kulalamika huku forums. Wewe kama kaka unanafasi ya kua mkali kwake na kumuweka chini kumuelekeza, kumuonya na kumshauri.
I'm sure hata mzazi ata appreciate ;kwasababu wazazi wengine wana spoil watoto udogoni akiwa mkubwa keshaharibika ndo anataka kujaribu kumrekebisha wakati kachelewa. Hivyo huenda pia dogo kuja hapo kwako ni njia ya mzazi wake kujaribu kubadilishia mazingira ili anyooke kinidhamu maana anajua ugenini hawezi kuwa na tabia za hovyo.
Be stern with him na muonyeshe kua tabia yake sio nzuri .Ongea nae juu ya future yake coz maisha yanaenda mbele hayarudi nyuma, with that kinda life style atakuja kupotea. Mwambie kesho na kesho kutwa wazazi wakiwa hawapo hakuna ndugu atakaekubali kuishi nae au hata kum support kwa hiyo lifestyle /tabia.Ataishia kua mlevi/teja apoteze ramani ya maisha.
Ongea kwa ukali but be kind with him kuonyesha lengo sio kumchukia bali kumsaidia. Trust me akibadilika wazazi wake watakushukuru na yeye hatakusahau maishani; who knows kesho na kesho kutwa anaweza geuka kua msaada mkubwa kwako na ndugu wengine just because you were patient with him and helped him change his ways?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa kunywa hivyo vibia tu una maind namna hiyo hadi unakuja kujiabisha JF siku ukikuta kamkaza Beki tatu wako au mkeo si utakufa kabisa kwa presha? mwanaume wa kweli hawezi kuweka mambo ya familia yake mitandaoni....Shame!!
Humu mmu tusipoweka mambo ya kifamilia tutakuwa tunazungumzia mambo gani mkuu.Mimi nimeomba mbinu ya kumtimua siwezi kukaa na mtu wa namna hii home kwangu napatumia kupumzika sasa kama kuna disturbance imekuja kwangu itaniidi niondoshe la sivyo nitakuwa siutendei haki moyo wangu.WAZO LA KUMFUKUZA NINALO TAYARI HUMU NATAFUTA MBINU TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom