Nimepata mgeni wa ajabu sana

Nimepata mgeni wa ajabu sana

Mpe sheria ngumu za nyumbani kwako kama alizoeleza jamaa. Aondoe upuuzi wa kwao akishindwa aondoke, zikiwemo kutojihusisha na housegirl, asinywe kilevi chochote. Asizurure bila utaratibu n.k unazoona zitambana. Hataki mkatie tiketi asepe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kijana mtoto wa baba mkubwa kaja kunitembelea hapa nyumbani baada ya kumaliza form six wanasubilia selection za chuo ila huyu kafeli maana kapata four ya mwisho.Sasa nilichoudhika ni hili tukio nililolikuta home kwangu.Yaani nimekuta limekunywa Box zima la Heinken zangu na st.Anna za mke wangu ***** zake cha kushangaza sasa toto dogo nimekuta linakula sigara packet nzima tena sebuleni yaani hili toto lina siku moja limeanza kufanya hivi nimekuta sebuleni kumejaa moshi kama jamaika aisee.AISEE HILI TOTO NASIKIA BABA YAKE ALILEA KWA KULIDEKEZA NA KUNA TETESI HATA HUO MTIHANI WA FORM SIX HALIJAFANYA.WAKUBWA HEBU NISAIDIENI MBINU ZA KULITIMUA KWA SABABU NAHISI NIMETEMBELEWA NA PAMPULA NA SIO MGENI TENA.MBAYA ZAIDI HUYU DADA WA KAZI AISEE KANIHADITHIA VITIMBWI VILIVYOKUWA VINATENDWA NA HILI TOTO MPAKA MENGINE AIBU KUYAANDIKA.NIPENI MBINU WAKUU HAPA KWANGU ANA SIKU MBILI NATAKA NIMG'OE HAPA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii story umetunga wewe, FM6 wamenaliza tangu mwezi Mei, we unasema kamapata dv IV Mara unadai hata mtihani hakufanya tukueleweje kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza wewe ni msanii kama Yule wa GPA ya 32,unasema amepata four ya mwisho afu unadai inasemekana mitihani hakufanya,kama hakufanya mitihani hyo four ya mwisho kaipataje?Unaandika inasemekana baba yake alimlea kwa kumdekeza,mtoto wa ba mdogo wako usiwe na uhakika alilelewa vipi? Any way Kama kaja kutembea mvumilie tu ataondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
hii ndio tofauti ya users wa jamii forum na mitandao mingine"... ukileta mada humu iwe umejipanga haswaa
 
Hahahaha
Pole sana
Mtimue haraka sana
Huyo ni nuksi ya maendeleo yako!
 
establish ground rules
  • thou shall not smoke
  • thou shall not drink alcohol (it's for papa n' mama only)
  • thou shall not touch or disrespect the house maid (she is part of the family)
  • thou shall not come home after sunset
  • thou shall help the maid with daily activities like dish washing and mopping
  • if you can not follow the above rules, thou shall go back to your papa!
Ha ha haaaaa. Hizi rules sio mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa unakereka na vitu vidogo vidogo kama hivyo huji kukaa na watu wa namna hiyo.

Suluhisho sio kumfukuza, kaa naye chini mwelekeze sheria na kanuni za humo ndani.

Akishindwa kujirekebisha mtafutie vibarua asiwe anashinda nyumbani.

Hizo tabia wakati mwingine huwa zinakuja kwa mtu anayeshinda tu nyumbani hana shughuli yoyote.
 
tumia akili,huyo ndio aina ya malezi aliyokulia...nje ya hapo utabeba lawama za kudumu..

Anza ratiba ya kupika ugali daily 24hrs kwa Dagaa wa Mwanza/maharage/mchicha...

halafu asubuhi chai ya mluzi kwa kiporo cha ugali au mihogo

*ataondoka mwenyewe,kwa hiari na kiroho safi 🙁

Sent using Jamii Forums mobile app
 
establish ground rules
  • thou shall not smoke
  • thou shall not drink alcohol (it's for papa n' mama only)
  • thou shall not touch or disrespect the house maid (she is part of the family)
  • thou shall not come home after sunset
  • thou shall help the maid with daily activities like dish washing and mopping
  • if you can not follow the above rules, thou shall go back to your papa!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kijana mtoto wa baba mkubwa kaja kunitembelea hapa nyumbani baada ya kumaliza form six wanasubilia selection za chuo ila huyu kafeli maana kapata four ya mwisho.Sasa nilichoudhika ni hili tukio nililolikuta home kwangu.Yaani nimekuta limekunywa Box zima la Heinken zangu na st.Anna za mke wangu ***** zake cha kushangaza sasa toto dogo nimekuta linakula sigara packet nzima tena sebuleni yaani hili toto lina siku moja limeanza kufanya hivi nimekuta sebuleni kumejaa moshi kama jamaika aisee.AISEE HILI TOTO NASIKIA BABA YAKE ALILEA KWA KULIDEKEZA NA KUNA TETESI HATA HUO MTIHANI WA FORM SIX HALIJAFANYA.WAKUBWA HEBU NISAIDIENI MBINU ZA KULITIMUA KWA SABABU NAHISI NIMETEMBELEWA NA PAMPULA NA SIO MGENI TENA.MBAYA ZAIDI HUYU DADA WA KAZI AISEE KANIHADITHIA VITIMBWI VILIVYOKUWA VINATENDWA NA HILI TOTO MPAKA MENGINE AIBU KUYAANDIKA.NIPENI MBINU WAKUU HAPA KWANGU ANA SIKU MBILI NATAKA NIMG'OE HAPA.

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa kunywa hivyo vibia tu una maind namna hiyo hadi unakuja kujiabisha JF siku ukikuta kamkaza Beki tatu wako au mkeo si utakufa kabisa kwa presha? mwanaume wa kweli hawezi kuweka mambo ya familia yake mitandaoni....Shame!!
 
tumia akili,huyo ndio aina ya malezi aliyokulia...nje ya hapo utabeba lawama za kudumu..

Anza ratiba ya kupika ugali daily 24hrs kwa Dagaa wa Mwanza/maharage/mchicha...

halafu asubuhi chai ya mluzi kwa kiporo cha ugali au mihogo

*ataondoka mwenyewe,kwa hiari na kiroho safi 🙁

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchoyo
 
Usiseme pombe…….. Sema kanywa Heineken(box zima) na St. Anna 😂😂😂
Pombe ina mtoa roho mtu.
hahahaa pombe inataka kumfanya mtu afukuzwe" ajabu nikwamba ungetokea chupa za hizo pombe zingepasuliwa na mtoto wake angekausha tu " wala asingekuja kusema hapa Jf
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom