Mkuu dada wa kazi si umuachie dogo agegede tuu.Kaanza kumtongoza dada wa kazi mi nipo kazini,kachukua hela alizobakiza dada wa kazi kutoka sokoni kaenda kununua sigara packet,kakaa sebuleni na boxer mpaka mtoto wangu karudi kutoka shule bado kavaa boxer hadi nimemkuta mimi nikamuuliza kulikoni ananijibu kuwa ametoka kuoga.
Sent using Jamii Forums mobile app
usye abhanyakyusya tukuti imbombo ulinajooKaanza kumtongoza dada wa kazi mi nipo kazini,kachukua hela alizobakiza dada wa kazi kutoka sokoni kaenda kununua sigara packet,kakaa sebuleni na boxer mpaka mtoto wangu karudi kutoka shule bado kavaa boxer hadi nimemkuta mimi nikamuuliza kulikoni ananijibu kuwa ametoka kuoga.
Sent using Jamii Forums mobile app
ingekuwa mm hata wewe ukikaa kwenye 18 zangu napitaNOT IN MY HOUSE!!
nitampasua nimtengeneze soup aseeh!!
Leo asubuhi angejikuta yupo kwenye Basi anarudi kwa babake!!
Boxer sebuleni?
Sigara?
Kutongoza msaidizi wangu?
Pombe kwa mtoto? (Tafsiri yangu ya mtoto ni yeyote aliye chini ya paa langu ni mtoto)
Billie viiiiipi bana?
Leo nina kikao nalo aiseeduh aisee hilo ni jipu c unamuambia tu tabia zako APA sizitaki jitu ambalo linatembea na boksa kummake ananiudhi sana yaani unakuta halioni aibu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu ni sio gharama ishu ni kero box la chupa 24 zilibaki 22 mbili nilikunywa mimi lenyewe limekunywa kwa siku moja na st ANNA na dompo limefagia friji ***** hata panya hafanyi hivi?Acha roho mbaya kwani hivyo vitu gharama yake ni sh ngapi?
Kuna kijana mtoto wa baba mkubwa kaja kunitembelea hapa nyumbani baada ya kumaliza form six wanasubilia selection za chuo ila huyu kafeli maana kapata four ya mwisho.Sasa nilichoudhika ni hili tukio nililolikuta home kwangu.
Yaani nimekuta limekunywa box zima la heinken zangu na st.Anna za mke wangu ***** zake cha kushangaza sasa toto dogo nimekuta linakula sigara packet nzima tena sebuleni yaani hili toto lina siku moja limeanza kufanya hivi nimekuta sebuleni kumejaa moshi kama jamaika aisee.
Aisee hili toto nasikia baba yake alilea kwa kulidekeza na kuna tetesi hata huo mtihani wa form six halijafanya.Wakubwa hebu nisaidieni mbinu za kulitimua kwa sababu nahisi nimetembelewa na pampula na sio mgeni tena.
Mbaya zaidi huyu dada wa kazi aisee kanihadithia vitimbwi vilivyokuwa vinatendwa na hili toto mpaka mengine aibu kuyaandika.
Nipeni mbinu wakuu hapa kwangu ana siku mbili nataka nimg'oe hapa.
Ase na wewe umecomment hahahahahahHapo kama unashindwa kumwambia live aache tabia zake basi chonga plan na Dada wa kazi mwambie atapomtongoza aseme anakuogopa ww kwa maana na wewe una maslahi kwake
Sasa kwa jinsi Huyo mgeni alivyo wa ajabu ataenda kumwambia mkeo kuwa unachepuka na Dada wa kazi then mnamtimua maana anakuwa kaja kugombanisha ndoa za watu
Hahahaa kweli ABWINU MBWINU TU HAKUNA NAMNAHakuna 'mbwinu' ya kukupa hapo ...unachotakiwa ni kubwuni mbunwu.... I mean umbwuni bwinu.. Ohh sorrry.. U mbuni mbwunu ya kulitimua..
Me too hahahahahahaNimeishia kucheka sana
Amesema kuna tetesi anasikia mtihan hajafanyaMtihani hajafanya lakini kapata division 4 ya mwisho?. Jipange upya mkuu ukiwa na kumbukumbu nzur
Sent using Jamii Forums mobile app