Huyu mzazi dhaifu lazima achekesheNimeishia kucheka sana
Kwann ukose mamlaka hivo na nyumba yako?Hapo kama unashindwa kumwambia live aache tabia zake basi chonga plan na Dada wa kazi mwambie atapomtongoza aseme anakuogopa ww kwa maana na wewe una maslahi kwake
Sasa kwa jinsi Huyo mgeni alivyo wa ajabu ataenda kumwambia mkeo kuwa unachepuka na Dada wa kazi then mnamtimua maana anakuwa kaja kugombanisha ndoa za watu
Watu wa Dar hatuna hizo mkuu.hivi vitabia wanavyo sana watu wa dar. hapo ukute kaambiwa dogo aje atafte chuo huko kakubali sasa kaona maisha magumu ukute ana chumba na kijisebure sasa kama anakosa uhuru yaani mgeni afike siku moja anywe heinken box moja na st anna afu avute sigara sebureni hahaha huyu jamaa muongo sana
IMAGINE!!Mbinu gani sasa unataka mkuu? Hapo sio kwako? Embu acha ujinga bwana…
Sent using Jamii Forums mobile app
Limeiokota kama yale mabehewa na magari ya polisi kule kurasinisasa km mtihani halijafanya hio div four limepataje? au limepata kusikojulikana
Undugu mwisho CHALINZE fukuza huyoKuna kijana mtoto wa baba mkubwa kaja kunitembelea hapa nyumbani baada ya kumaliza form six wanasubilia selection za chuo ila huyu kafeli maana kapata four ya mwisho.Sasa nilichoudhika ni hili tukio nililolikuta home kwangu.Yaani nimekuta limekunywa Box zima la Heinken zangu na st.Anna za mke wangu ***** zake cha kushangaza sasa toto dogo nimekuta linakula sigara packet nzima tena sebuleni yaani hili toto lina siku moja limeanza kufanya hivi nimekuta sebuleni kumejaa moshi kama jamaika aisee.AISEE HILI TOTO NASIKIA BABA YAKE ALILEA KWA KULIDEKEZA NA KUNA TETESI HATA HUO MTIHANI WA FORM SIX HALIJAFANYA.WAKUBWA HEBU NISAIDIENI MBINU ZA KULITIMUA KWA SABABU NAHISI NIMETEMBELEWA NA PAMPULA NA SIO MGENI TENA.MBAYA ZAIDI HUYU DADA WA KAZI AISEE KANIHADITHIA VITIMBWI VILIVYOKUWA VINATENDWA NA HILI TOTO MPAKA MENGINE AIBU KUYAANDIKA.NIPENI MBINU WAKUU HAPA KWANGU ANA SIKU MBILI NATAKA NIMG'OE HAPA.
Sent using Jamii Forums mobile app
dawa ya muhuni ni kuwa muhuni!
