Nimepata mgeni wa ajabu sana

Nimepata mgeni wa ajabu sana

A
kiasi kwamba hata umeshindwa kuona Ni Mdogo wako !!.

Anyway, sio inshu sana ,,, Wee km kaka yake Unachukua jukumu gani japo jitihada zozote ambazo zitafaa kumuokoa mdogo wako ?? Je umurudishe aendelee kua mvutaji na mnywaji ambapo mwisho atajingiza mazingira mabaya ,afe..kisha Utalia??? .
Au utafurah kuondokewa na Mzigo ?? .

Mimi nina Shangazi mmoja tu, Nakwasababu ya Mali na kudekeza watoto wake, mwanawe wa mwisho mpaka akajiingiza ktk uteja ivo ivo, LKN Hakuwahi kumkataa wala kumfukuza naakahangaika naye mpaka Jamaa yuko poa kabisa nasasa ni Raia mwema.
.........
Hatar sana aisee
 
Kuna kijana mtoto wa baba mkubwa kaja kunitembelea hapa nyumbani baada ya kumaliza form six wanasubilia selection za chuo ila huyu kafeli maana kapata four ya mwisho.Sasa nilichoudhika ni hili tukio nililolikuta home kwangu.Yaani nimekuta limekunywa Box zima la Heinken zangu na st.Anna za mke wangu ***** zake cha kushangaza sasa toto dogo nimekuta linakula sigara packet nzima tena sebuleni yaani hili toto lina siku moja limeanza kufanya hivi nimekuta sebuleni kumejaa moshi kama jamaika aisee.AISEE HILI TOTO NASIKIA BABA YAKE ALILEA KWA KULIDEKEZA NA KUNA TETESI HATA HUO MTIHANI WA FORM SIX HALIJAFANYA.WAKUBWA HEBU NISAIDIENI MBINU ZA KULITIMUA KWA SABABU NAHISI NIMETEMBELEWA NA PAMPULA NA SIO MGENI TENA.MBAYA ZAIDI HUYU DADA WA KAZI AISEE KANIHADITHIA VITIMBWI VILIVYOKUWA VINATENDWA NA HILI TOTO MPAKA MENGINE AIBU KUYAANDIKA.NIPENI MBINU WAKUU HAPA KWANGU ANA SIKU MBILI NATAKA NIMG'OE HAPA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume gani unalialia jambo dogo kama hlo. Nina mashaka kama ndoa utaifikisha salama.watu kama ww ndo mnafanya wanaume wa dar wazaraulike..
 
kiasi kwamba hata umeshindwa kuona Ni Mdogo wako !!.

Anyway, sio inshu sana ,,, Wee km kaka yake Unachukua jukumu gani japo jitihada zozote ambazo zitafaa kumuokoa mdogo wako ?? Je umurudishe aendelee kua mvutaji na mnywaji ambapo mwisho atajingiza mazingira mabaya ,afe..kisha Utalia??? .
Au utafurah kuondokewa na Mzigo ?? .

Mimi nina Shangazi mmoja tu, Nakwasababu ya Mali na kudekeza watoto wake, mwanawe wa mwisho mpaka akajiingiza ktk uteja ivo ivo, LKN Hakuwahi kumkataa wala kumfukuza naakahangaika naye mpaka Jamaa yuko poa kabisa nasasa ni Raia mwema.
.........
Sina muda wa kuanza kumfundisha maisha kijana kama huyu tena above 18 hiyo nguvu aifanye baba yake mimi nipo busy sana na kazi na familia yangu siwezi mbadili mtu aliyepikwa tabia kwa kipindi cha miaka 18 iliyopita.Enzi zetu familia yetu inahesabika ni masikini huyo baba mkubwa alikuwa bize na familia yake akawazoesha maisha ya kishua watoto wake wala hakuwa na time na sisi leo nije kujifanya mwalimu wa maisha kwa mtoto wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu mmu tusipoweka mambo ya kifamilia tutakuwa tunazungumzia mambo gani mkuu.Mimi nimeomba mbinu ya kumtimua siwezi kukaa na mtu wa namna hii home kwangu napatumia kupumzika sasa kama kuna disturbance imekuja kwangu itaniidi niondoshe la sivyo nitakuwa siutendei haki moyo wangu.WAZO LA KUMFUKUZA NINALO TAYARI HUMU NATAFUTA MBINU TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa gentleman mkuu....
 
Aaahhh basi sawasawa Mkuu . Unaonekana ulikua uku ukiwa na kitu fulan moyon

"Huyu baba mkubwa ana pesa lkn hata kutusaidia hamna ?? Sawa tu Mungu yupo"

Anyway ndo Uafrika wetu ,endelea kujikita na Familia yako !!
 
Tatizo la Watanzania tunakuaga na ukarimu wa kinafiki. Mgeni amekuja utaskia karibu jiskie huru kama nyumbani -sasa kama nyumbani ndo anafanya hivo???
Mimi mgeni akija kwangu atapumzika siku ya kwanza, siku ya pili usiku kabla ya kulala ntakaa nae na kumpa maelekezo na utaratibu wa Nyumba YANGU!!!Especially kama ni hawa madogo wanaokuja kutembelea likizo. Mfano :Asbh ukiamka kuna nguo zangu za kazini hapo nipigie pasi, fanya usafi chumba chako, dada akiwa anaosha vyombo wewe msaidie kudeki, hapo nje kuna bustani... ukimaliza shuhuli zako ipalililie, uwanja nje uwe unafagia asbh etc na vitu kama hivyo. Na ninaweka clear hatuna utaratibu wa kuangalia TV mchana ila UKIMALIZA shuhuli zako unaweza angalia ....Ni muhimu pia kuweka utaratibu wa chakula maana unaweza muachia house girl dagaa na mboga ya majani mgeni akamwambia mi kama kuna nyama nipikie nipikie sili dagaa wakati kwako unaishi kwa utaratibu na budget zako.
Na mgeni usipompa your house rules usitegemee housegirl atamwambia "usifanye hivyo" wewe ndo mwenye nyumba na ndio mwenye mgeni state your house rules!!!
Sasa inawezekana ndugu wewe hayo huku fanya. Mgeni akiamka mapema unamuuliza "Mbona umeamka mapema jamani (huku unacheka kinafki),akilala mpk saa nne unalalamika mvivu.
Inawezekana day one ulimkaribisha hizo pombe ukamwambia kunywa tu jiskie huru -sasa anajiskia huru unalalamika.
Mimi nshaishi na madogo wa hivo tena wengine ndugu wa side 2...Same rules apply. Sitaki mtu mvivu wala tabia za hovyo kwangu. Ukiona huwezi utaondoka tu mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nije nikae kwako mama
 
Sina muda wa kuanza kumfundisha maisha kijana kama huyu tena above 18 hiyo nguvu aifanye baba yake mimi nipo busy sana na kazi na familia yangu siwezi mbadili mtu aliyepikwa tabia kwa kipindi cha miaka 18 iliyopita.Enzi zetu familia yetu inahesabika ni masikini huyo baba mkubwa alikuwa bize na familia yake akawazoesha maisha ya kishua watoto wake wala hakuwa na time na sisi leo nije kujifanya mwalimu wa maisha kwa mtoto wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
LIFUKUZE TUU... LIAMBIE TOKA KWANGU SIKUTAKI MBWA WEWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu mmu tusipoweka mambo ya kifamilia tutakuwa tunazungumzia mambo gani mkuu.Mimi nimeomba mbinu ya kumtimua siwezi kukaa na mtu wa namna hii home kwangu napatumia kupumzika sasa kama kuna disturbance imekuja kwangu itaniidi niondoshe la sivyo nitakuwa siutendei haki moyo wangu.WAZO LA KUMFUKUZA NINALO TAYARI HUMU NATAFUTA MBINU TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba ni yako, anaye kufanyia vituko ni mdogo wako mbinu za kumtimua uje kuomba msaada JF(ina maana huwezi simamia mambo ya nyumbani kwako) kama huu uzi si wa kujisifia naanza kukubaliana na mdau mmoja kachagia huko juu haya maamuzi yana baraka na nguvu za mkeo….Bia ni kitu kidogo mno kukutoa roho.
 
yaani unashindwa kufanya maamuzi mepesi kama hayo mpaka unakuja huku
Timua tu,kosa ni ulevi na kuvuta sigara[/QUOTE

Atakuwa amelionea kwa kuwa lilikunywa lakini halikulewa halafu alikuwa hajaandika kibao cha no smoking! Labda ubadili mashitaka yawe wizi wa kuaminiwa
 
yaani unashindwa kufanya maamuzi mepesi kama hayo mpaka unakuja huku
Timua tu,kosa ni ulevi na kuvuta sigara[/QUOTE

Atakuwa amelionea kwa kuwa lilikunywa lakini halikulewa halafu alikuwa hajaandika kibao cha no smoking! Labda ubadili mashitaka yawe wizi wa kuaminiwa. Halafu kaogopa kusema lilimuomba house girl!
 
Sina muda wa kuanza kumfundisha maisha kijana kama huyu tena above 18 hiyo nguvu aifanye baba yake mimi nipo busy sana na kazi na familia yangu siwezi mbadili mtu aliyepikwa tabia kwa kipindi cha miaka 18 iliyopita.Enzi zetu familia yetu inahesabika ni masikini huyo baba mkubwa alikuwa bize na familia yake akawazoesha maisha ya kishua watoto wake wala hakuwa na time na sisi leo nije kujifanya mwalimu wa maisha kwa mtoto wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kuna yaliyomo zaidi ya uliyoandika.... Kwa hiyo kwa upande mwingine pia una kinyongo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ndio husumbua mashuleni!!!! kila shule yapo ya hivyo yanajifanya masela nondo!!! waalimu walishahangaika wamekoma!!! kila siku linatoroka!!! linajifanya maarufu na babkubwa mbele ya wanafunzi wenzake !!! sasa shule imeisha wamesambaa wote!!!! halina wa kumwos=jesha u superstar!!!! limechanganyikiwa na lina msongo wa mawazo!!! likiangalia mtaani kila mtu yupo bussy na mambo yake !!! hakuna anayelijali na vituko vyake vinaonekana cha mtoto mtaani!!!!angali litatafuna hata magodoro!!! na vyombo vya ndani likivuta kitu yake ya ARUSHA.
 
Billie, hii taarifa umeithibitisha mwenyewe na ukajiridhisha pasi na shaka kwamba Bw mdogo ndio katenda yeye na umemuuliza yeye akakiri kufanya hayo yote..? Au umerudi nyumbani mama watoto akakuambia pamoja na dada wa kazi ukayabeba maneno yao mabichimabichi ? Isije kuwa alikunywa moja tu na matokeo yake mama watoto pamoja dada wa kazi wakapanga wamchinjie baharini..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom