Nimepata mgeni wa ajabu sana

Nimepata mgeni wa ajabu sana

Kuna kijana mtoto wa baba mkubwa kaja kunitembelea hapa nyumbani baada ya kumaliza form six wanasubilia selection za chuo ila huyu kafeli maana kapata four ya mwisho.Sasa nilichoudhika ni hili tukio nililolikuta home kwangu.

Yaani nimekuta limekunywa box zima la heinken zangu na st.Anna za mke wangu ***** zake cha kushangaza sasa toto dogo nimekuta linakula sigara packet nzima tena sebuleni yaani hili toto lina siku moja limeanza kufanya hivi nimekuta sebuleni kumejaa moshi kama jamaika aisee.

Aisee hili toto nasikia baba yake alilea kwa kulidekeza na kuna tetesi hata huo mtihani wa form six halijafanya.Wakubwa hebu nisaidieni mbinu za kulitimua kwa sababu nahisi nimetembelewa na pampula na sio mgeni tena.

Mbaya zaidi huyu dada wa kazi aisee kanihadithia vitimbwi vilivyokuwa vinatendwa na hili toto mpaka mengine aibu kuyaandika.

Nipeni mbinu wakuu hapa kwangu ana siku mbili nataka nimg'oe hapa.
Hivi box la heinekein ni sh ngap?

Sent from my SM-C7000 using Tapatalk
 
wewe fika nyumbani kisha mpe nauli , baada ya hapo muoneshe mlango wa kutokea. It is as simple as that. kinyume na hapo wewe sio mwanaume, mwanaume lazima uwe na msimamo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noa panga akiwepo jirani kisha jifanye unaongea na simu..”ndioo sawa hamna shida namchinja kabisa...yani leo leo naenda nae nnje kidogo..”

Kisha beba panga mwambie dogo twende zetu tukatembee kidogo, mwambie subiria naingia ndani kidogo.

Ukitoka ukamkuta bado yupo basi endelea tu kufuga jambazi hilo.
 
Ishu ni sio gharama ishu ni kero box la chupa 24 zilibaki 22 mbili nilikunywa mimi lenyewe limekunywa kwa siku moja na st ANNA na dompo limefagia friji ***** hata panya hafanyi hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini usinunue lingine kama hilo limeisha maana hizo ni dalili za roho mbaya, halafu unamwambia kwamba kunywa kwa kiasi kwani shida ipo wapi shida ni kwamba miaka hii watu wana roho mbaya sana...
 
Je unamwogopa dogo au baba mkubwa hata uombe ushauri humu?
 
Kuna kijana mtoto wa baba mkubwa kaja kunitembelea hapa nyumbani baada ya kumaliza form six wanasubilia selection za chuo ila huyu kafeli maana kapata four ya mwisho.Sasa nilichoudhika ni hili tukio nililolikuta home kwangu.

Yaani nimekuta limekunywa box zima la heinken zangu na st.Anna za mke wangu ***** zake cha kushangaza sasa toto dogo nimekuta linakula sigara packet nzima tena sebuleni yaani hili toto lina siku moja limeanza kufanya hivi nimekuta sebuleni kumejaa moshi kama jamaika aisee.

Aisee hili toto nasikia baba yake alilea kwa kulidekeza na kuna tetesi hata huo mtihani wa form six halijafanya.Wakubwa hebu nisaidieni mbinu za kulitimua kwa sababu nahisi nimetembelewa na pampula na sio mgeni tena.

Mbaya zaidi huyu dada wa kazi aisee kanihadithia vitimbwi vilivyokuwa vinatendwa na hili toto mpaka mengine aibu kuyaandika.

Nipeni mbinu wakuu hapa kwangu ana siku mbili nataka nimg'oe hapa.
Wewe nawe ni pampula tu kama hill dogo lako! Yaani hilo nalo mpaka upate msaada kwa jirani?
 
Mpeleke ubungo fasta Shambalai bd haijaondoka, tia hata kwenye buti
 
Kwann ukose mamlaka hivo na nyumba yako?
Natakiwa kupanga mbinu na mtu ili KUONDOA mtu anayemissbehave kiwango hicho?
SIFANYI HUO HIYO KITU ASEE!!
ni ataondoka the very moment!!
Babake atakamponiuliza nitamwambia amulize mtoto wake!!
PERIOD!!
Timua Huyo asikuumize kchwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom