Nimepata mchumba au kombora?

Mi nimetuma picha za kawaida mno lkn ndo ivo tena nyingi nipo kanisani
 
mungu Mkubwa mm sijawahi kukutana na machola hadi kuona elfu 50 ni pesa nyingi, tho siwezi kukosa nauri. ila wewe kaka bahili unashindwa kutuma 50? dah what kind of a man? aibu
Hapa sio swala la ubahili mkuu...
Jamaa ameshindwa kumaliza issue ndogo hii kwa hekima na busara.
Hapa alipo anza tu kwamba walikua wakitumiana picha, kiajua tayari kijana alituma picha kwa kutaka sifa.
Alafu.....
Kama ameshindwa kumaliza issue ndogo kama hii, je angekua mtongozaji kama sisi wengine ambao kila siku tuna zoza humu jf..[emoji39] [emoji39] na tunakutana na makubwa kuliko hili, hapo sindio angekua analeta threads za kipuuzi humu kila siku...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilishaomba sana niende hata karibu na geti lao nimwone akasema baba yake ana supermarket nje ya geti anauza humo ni ngumu kumwona
Hahahhh ulikua unalizwa vibaya usikute mwanaume mwenzio [emoji28]
 
kwanini usimfate mbona wanaume mnapenda mambo rahisi sana,kuna mmoja aliniambia eti atachukua chumba hotelini tukaongee humo .kuna watu wanautani sijui roho mbaya? tena yupo humu akinisoma ataelewa
 
Ndo tatizo la wanaume wa jf mkishindwana mnakuja kuanikwa [emoji28][emoji28]pole yako dada sijui unajisikiaje uko ulipo maskini wanaume wengine sio kulikua na ulazma gani wa kuja kuanikana
 
Kweli kabisa alaf mambo ya kudhalilishana jf ndo yapo sana
 
kwanini usimfate mbona wanaume mnapenda mambo rahisi sana,kuna mmoja aliniambia eti atachukua chumba hotelini tukaongee humo .kuna watu wanautani sijui roho mbaya? tena yupo humu akinisoma ataelewa

NYIE AKINA NANI MPAKA MTUSABABISHIE HASARA
HALAFU WANAWAKE ALIE WAAMBIA WANAUME ( BOYFRIEND) wako SAWA NA BABA YAKO NANI? UMEPENDEA LEO UNATAKA KILA KITU ULICHOEAHI KUKISIKIA DUNIANI UWE NACHO HOW COMES??
 
50,000 ya Tax=vat
 
mbona sikuelewi ina maana mtu akikuita morogoro nje ya plan zako si lazima atoe nauli yeye kama vipi amfate.na kama mwanaume kweli unampenda mtu si umfate?
 
Kwanza KUNA Uba mwambia achukue UBA ni 1000 Tzs kwa kilomita 1
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…