Lyn Vivac
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 858
- 1,024
Haya, ila usitume! Ukituma utakua mjinga, na siku zote mwanaume wa kweli huwa na nidhamu ya pesa.Kimya
Kama vipi nenda wewe huko aliko uone kama utatumia hyo elf 50.
Haya, ila usitume! Ukituma utakua mjinga, na siku zote mwanaume wa kweli huwa na nidhamu ya pesa.Kimya
baba mwenzio kaomba nauli tu ya hako kataksi unakuja kuomba ushauri , ukiambiwa umnunulie tiketi ya ndege si utajinyonga .
tuma nauli huko acha ubahili
ukoo mzima hakuna aliyewah kupanda ndege,taxi nilibebwa napelekwa hospital naumwa tu leo nitoe 50 ya taxi kwa mchumba si bora nimtumie mamaangu anunue kitengeSasa baada ya kukwama kwa chepe dawa, rudi kwa black currant 😀😀Miezi kadhaa nilipost hapa nikitafuta mchumba wa kuoa
Nikapata kama wadada wawili,ktk kuchuja kwangu nikampenda mwenye rangi nyeupe maana mwingine ni black,
Tumechat whatsapp kwa miez sasa bila kuonana lkn tunatumiana picha mbalimbali aidha tupo kazini au nyumbani,
Jana tulipanga appointment ya kuonana na mimi nisingeweza kumfata aliko ila akaomba nimtumie elfu 50 achukue taxi mpaka nilipo,
Sasa nipo dilema najiuliza hivi nitume kweli 50 au niache maana moyo una 6 au ni mhuni maana?
Hapa mjini!
![]()
![]()
![]()
![]()
ukoo mzima hakuna aliyewah kupanda ndege,taxi nilibebwa napelekwa hospital naumwa tu leo nitoe 50 ya taxi kwa mchumba si bora nimtumie mamaangu anunue kitenge

Mm pia nkawa nawaza kam wweWw unatumia kigezo kipi kujua kuwa mlokole...au ndo hzo picha mnazotumiana???
1...kumbuka hapa ni mjini watu wapo radhi kuvaa viatu vyovyote linapokuja swala la pesa
2...ww ulitaka mchumba ili MPENDANE au ili wewe UMPENDE yeye asikupende??...kama jibu "MPENDANE" anashindwaje kutumia nauli yale kwenye daladala ambayo nna uhakika haizidi elf 5 kuja kukuona????
3....kama anashindwa kuja kukuona bila kumpa elfu 50 then ask yourself "what is love???"
4....kuwa makini
5.....there are still more things that are worthwhile to do in a life than love(..bado kuna vitu vingi vya kufanya katika maisha zaidi ya mapenzi)
HUU MJADALA NAUFUNGA RASMI KWA SASA MAANA HUYO BINTI KASHATUMA MTU NIKO NAE HAPA ANA UJUMBE NGOJA NIMSIKILIZEMiezi kadhaa nilipost hapa nikitafuta mchumba wa kuoa
Nikapata kama wadada wawili,ktk kuchuja kwangu nikampenda mwenye rangi nyeupe maana mwingine ni black,
Tumechat whatsapp kwa miez sasa bila kuonana lkn tunatumiana picha mbalimbali aidha tupo kazini au nyumbani,
Jana tulipanga appointment ya kuonana na mimi nisingeweza kumfata aliko ila akaomba nimtumie elfu 50 achukue taxi mpaka nilipo,
Sasa nipo dilema najiuliza hivi nitume kweli 50 au niache maana moyo una 6 au ni mhuni maana?
Hapa mjini!

UKIMYA TAFADHALIEddy umewaza vizur saninamaana hakuna usafiri mwingine zaidi ya tax? huyo ni muongo tena usikute dume mwenzio
Ulikua wap ndugu yangu bora umesema ukweli niliokuwa sijaujua na kuutamka hapaMm pia nkawa nawaza kam wwe
Ukimpenda mtu kwa dhat huwa hakuna cost...au limitations eti ntumie hyo hela kwanza ndo nije khaaaaa hamna mapenz ya hivyo
Ukipenda huwa tunatumia cost zetu sometimes hata kumuomba hyo unaempnda unaona aibu au unawaza kuwa anawez nifikiria gold digger....mbaya zaid anafanya kazi khaaaa
Angekuwa hana kazi sawa....na hata km ni vip huwez tumia cost kubwa kias hicho cha kumuona unempnda kwa gari hazipo....she want to tell me kuwa she alwys use taxi in evry root....
Sipendi dependant girls while they are working basi tu
Tena mchumba mwenyewe hewa!! Maana hata wewe hujui kama mtakubaliana mtakapoonana au vipi, halafu huyo bado ni rafiki/ mpenzi, kwan mlichumbiana lini nyie?![]()
![]()
![]()
![]()
ukoo mzima hakuna aliyewah kupanda ndege,taxi nilibebwa napelekwa hospital naumwa tu leo nitoe 50 ya taxi kwa mchumba si bora nimtumie mamaangu anunue kitenge
HahaaaaaUlikua wap ndugu yangu bora umesema ukweli niliokuwa sijaujua na kuutamka hapa
Bas ACHANA NAYE. Usitake ulie then blue Monday ushindwe kwenda kwenye kazini kwako.Wala hatujachumbiana ndo kwanza tungeanza kuonana leo
ni kweli kabisa ila kwa mwanaume yoyote hakuna cha Bure labla kwa mkeo ulomtolea mahali, Hugo Dada anaona aanze kuingia gharama wakati hata MTU hawajusni physically?Mm pia nkawa nawaza kam wwe