Nimepata mchumba au kombora?

Nimepata mchumba au kombora?

ni kweli kabisa ila kwa mwanaume yoyote hakuna cha Bure labla kwa mkeo ulomtolea mahali, Hugo Dada anaona aanze kuingia gharama wakati hata MTU hawajusni physically?

anyway mleta uze kasome iniri ya Luke chp 16:1-16 (ambae hawezi kutoa kidogo hats kikubwa hawezi)
Na kweli siwez
 
Huyo ni money scavenger, mtose, au mwambie achumbiwe na benki. Yaani kuonana anataka nauli ya Dar to Mwanza. Mkikutana matumizi yake yatakuwa ni ticket ya Airbus Dar 2 Mza.
 
Ww unatumia kigezo kipi kujua kuwa mlokole...au ndo hzo picha mnazotumiana???
1...kumbuka hapa ni mjini watu wapo radhi kuvaa viatu vyovyote linapokuja swala la pesa
2...ww ulitaka mchumba ili MPENDANE au ili wewe UMPENDE yeye asikupende??...kama jibu "MPENDANE" anashindwaje kutumia nauli yale kwenye daladala ambayo nna uhakika haizidi elf 5 kuja kukuona????

3....kama anashindwa kuja kukuona bila kumpa elfu 50 then ask yourself "what is love???"
4....kuwa makini
5.....there are still more things that are worthwhile to do in a life than love(..bado kuna vitu vingi vya kufanya katika maisha zaidi ya mapenzi)
Halafu kati ya ke walio jirani na wewe hakuna hata mmoja anayekufaa hadi uje kujianika huku JF kama dagaa?
 
Ndiomaana nasema....
Huyo mdada alikuomba hiyo 50 elfu, baada ya wewe kujikweza kwake.
Hivyo yeye alikuomba hiyo pesa kutokana na jinsi alivyo kutathmini.
Hapa naona unamlaumu bidada bure tu
Huenda makosa ni yangu sasa
 
Huyo ni money scavenger, mtose, au mwambie achumbiwe na benki. Yaani kuonana anataka nauli ya Dar to Mwanza. Mkikutana matumizi yake yatakuwa ni ticket ya Airbus Dar 2 Mza.
Ni bora angeomba pesa kidogo bas hiyo 50 ni nyingi mno lazma mtu ushtuke kwa maisha yalivyobana kipindi hiki
 
kama anafanya kazi hiyo hela ya nn
Kama anakupenda aje kwanza af siku nyingne ndo utamtumia 100000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom