Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,790
- 4,678
Ni wiki 3 sasa tangu nimekutana na mwanamke na hii ni baada ya kupima nae kabla na kukuta hana maambukizi, baada ya siku kadhaa nilikutana nae baada ya kumuamini na ndipo nilipo ona usaa kwenye uume wangu, nilienda hospital nikaanzishiwa Ceftriaxone na tabs Ciproflaxin pamoja na Dox.
Nimetibiwa lakini mpaka sasa napata maumivu kwenye urethra na nikikojoa napata maumivu japo usaha umeacha kutoka naombeni ushauri hali sio poa.
Nimetibiwa lakini mpaka sasa napata maumivu kwenye urethra na nikikojoa napata maumivu japo usaha umeacha kutoka naombeni ushauri hali sio poa.